Ngorongoro heroes watolewa baada ya kufungwa 3-0 dhidi ya Morocco

Ngorongoro heroes watolewa baada ya kufungwa 3-0 dhidi ya Morocco

spray

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
277
Reaction score
241
Roho inaniuma hatari
Naona nikalale tu

Yaani tushakula 3 ndani ya 15 minutes
Asalaleee
===
FT: Tanzania 0-3 Morocco.

Kutoka kundi C, Tanzania inaaga mashindano ikiwa imefungwa jumla ya magoli 8 na kufunga 1 huku ikiwaacha Morocco, Ghana na Gambia wakisonga mbele hatua ya robo fainali.
 
Mpira ni investment. Mpira ni sayansi. Ukiwekeza mabua, utavuna hayohayo. Tufurahi kuchabangwa 3 bila maana zingeweza kuwa hata 7.
 
hamna kocha
Toka nilivyo ona Walivyo cheza game ya kwanza ..nikasema siangalii tena
hakuna kocha pale...hata yule golikipa nilishangaa eti ndie namba 1 kwamba anamzidi kiwango aliyeko benchi!!!! yule kipa hata mimi veterani namkalisha benchi
 
Roho inaniuma hatari
Naona nikalale tu

Yaani tushakula 3 ndani ya 15 minutes
Asalaleee
===
FT: Tanzania 0-3 Morocco.

Kutoka kundi C, Tanzania inaaga mashindano ikiwa imefungwa jumla ya magoli 8 na kufunga 1 huku ikiwaacha Morocco, Ghana na Gambia wakisonga mbele hatua ya robo fainali.
Morocco wamejipanga kwenye soka, wewe cheki tu mfano wa academic ya Barkane, sisi huku timu zetu za Yanga, Simba na Azam zinapambana kulogana wachezaji wasilione goli.
IMG_20210223_114729.jpg
Screenshot_2021-02-23-11-47-44.jpg
 
Back
Top Bottom