Ngorongoro inaangamia, tuache Siasa kwenye ukweli

Leteni sheria ya kuanzishwa kwa Ngorongoro kama national park. Achemi kelele na maneno matupu.
[emoji871]Acha Porojo kaa kwenye Point.

[emoji871]Na wewe tupe tafsiri ya CONSERVATION kwa kiswahili.

[emoji871]Ila pamoja na hayo yote,kuhama hakukwepeki.
 
Wamasai kwa asili na tabia huwa hawawindi na kula wanyama wa porini mkuu.. ingekua hivyo basi pengine leo hii hizo mbuga, zisingekuwa na wanyama
[emoji871]Je hao wanyama wao kama mbwa wanaofugwa na wamaasai, wanakula nini kama sio Wanyama Pori?
 
Nadhani hujui au ni mtoto mdogo so hujui historia ya masaai pale ngorongoro.

So endelea kubishana na wenzako but keep watching.
 
Nadhani hujui au ni mtoto mdogo so hujui historia ya masaai pale ngorongoro.

So endelea kubishana na wenzako but keep watching.
What should I keep watching? Sijaelewa ni ushauri au ni tishio. Siamini kwamba unakata pumzi mapema hivi.
 
Acha Porojo kaa kwenye Point.

Na wewe tupe tafsiri ya CONSERVATION kwa kiswahili.

Ila pamoja na hayo yote,kuhama hakukwepeki.
Neno "CONSERVATION" kwa muktadha kwa NCA litakuwa limefafanuliwa(defined) kwenye sheria kama ipo. Kila sheria hudefine vocabulary zake katika sura ya kwanza kwa muktadha wa sheria husika ili kuepusha mkanganyiko au watu kutumia definition za kawaida za lugha.
 
"The property provides grazing land for semi-nomadic Maasai pastoralists.

At the time of inscription an estimated 20,000 Maasai were living in the property, with some 275,000 head of livestock, which was considered within the capacity of the reserve.

No permanent agriculture is officially allowed in the property. Further growth of the Maasai population and the number of cattle should remain within the capacity of the property, and increasing sedentarisation, local overgrazing and agricultural encroachment are threats to both the natural and cultural values of the property. There were no inhabitants in Ngorongoro and Empaakai Craters or the forest at the time of inscription in 1979".

UNESCO
 
Nimekuelewa vizuri Sana ndugu tatizo Ni je serikali itaweza kuwatafutia makazi mengne yaliyobora na kuhakikisha huduma zote za kijamii juu yao isije ikawa wanaweka muwekezaji afu wao wanaachwa solemba.. hela za wawekeZaji ziliwe na wachache hasa walio kweny system
 
Kinachowasilishwa na hawa waandishi uchwara waliolipwa na NCAA pamoja na wewe pia katika mabandiko yako humu, sio namna ya kuthibiti ongezeko la watu au shughuli za kiuchumi including ujenzi wa makambi ya utalii(hizi hazomilikiwi na wamaasai).
Waandishi hao na waandika mabandiko humu ukiwepo wewe PendoLyimo ni juu ya kuwaondoa kabisa Wamaasai kule na sio control of anything. Hatukubaliani na kuondolewa. Changamoto za hifadhi zinaweza kujadiliwa na kutafuta suluhisho kwa pande zote. Ikiwezekana tuifute, turuhusu shughuli zote za kiuchumi. Ukanda huo kuna Serengeti, Lake Manyara na Tarangire. Kuna Arusha National Park na Momela. Kuna Pori tengefu la Loliondo. Kuna hifadhi kibao za misitu. Mnataka Wamaasai tuishi wapi ili tuendeshe shughuli zetu?
 
[emoji871]Acha kuzunguka mbuyu...jibu swali!

[emoji871]Eleza maana ya CONSERVATION kwa lugha ya kiswahili.

[emoji871]Bado hujajibu swali la msingi umekalia Definition!
 
[emoji871]Waishi nje ya Ngorongoro kama wamasai wengine!
 
Tatizo hili linajitokeza kutokana na ''Royal Tour'' au kuna sababu nyingine? Zile Hotel pale juu kuna watu walijichukulia kiholela wakati wa Mkapa/Kikwete booking lazima ufanye nje ya Tanzania.

Inakuwaje kuna uharaka kwenye kila sector?
 
naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…