Na wewe unaona hicho unachosema hapo ni kama kile kilichotokea ? Hapo ni wewe umeona kwa macho yako kule ni hearsay umeambiwa..., hata kuona unaweza kuambiwa ni hallucination..., kwahio kuna vitu wewe kama second au third party inabidi utumie neno allegedly unless otherwise ulikuwepo..., na circumstantial evidences zinaweza zikawa proven to the contrary...
Nani amesema usiulize maswali ? nadhani ni wewe ndio uliyesema kwamba unaweza kumuuliza PM kwanini alidanganya kwamba JPM yupo anachapa kazi wakati ilikuwa tayari... Mimi ndio ninakuuliza with such allegation una concrete evidence to the contrary ? (wewe kama wewe na sio ku-connect the dots ambazo mwisho wa siku mtu anaweza akakuruka) na ukaambiwa ni slander.....; Unajuaje with the information he had at such moment kilichotokea sicho kilichotokea ?
Kwahio mtonyo wa kijana wa Mzena na Video kuwepo YouTube mpaka leo hazijafutwa ndio proof unayokuja nayo ? Sijasema hicho unachosema hakikutokea wala hakiwezi kutokea (after all wanasiasa na uongo ni pete na kidole) nachosema ni wewe kudhani una proof kilichotokea kilikuwa kishatokea wakati PM anasema anayosema....