NGO’s na International organization siku hizi ni kama pipa na mfuniko

NGO’s na International organization siku hizi ni kama pipa na mfuniko

The Don Himself

New Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
4
Reaction score
1
Habari za Asubuh wanajamii,

Tangu Shirika la USAIDS kufutwa hapa nchini na Mimi kuanza kutafuta ajira sehemu mbalimbali nimejionea mambo mengi sana. Kwanza kabisa kwenye suala la ajira na kuitwa kwenye interview. NGO au International organization nyingi huwa wanaita watu wachache sana kwenye interview na pia sio applicants wote hupokea taarifa kwamba zile application zimekuwa rejected or accepted.

Naleta uzi huu hasa ni kwa wale wanaoitwa kwenye interview maana nimefanikiwa kuitwa kwenye interview chache tangu nianze kuapply lakini nimepata changamoto sana kupata majibu ya interview nilizozifanya. Na maanisha mara baada ya kufanya interview organization nying watwambia tutapata matokeo ya interview yetu within three or four weeks however mpk karibu mashirika manne ambayo nimefanya interview sijapata majibu kabisa na wiki hizi walizosema zimepita. Ndo najiuliza hawa international organization nao wamekuwa waswahili au Dharau.

Nashukuru nimepata sehemu nyingine this is totally stupidity and don’t make sense at all. Nashauri hao NGOs au INGOs watoe majibu kwa watu waliowafanyia interview kuliko kuwaachaaa solembaaa
 
Tuzidi kumuomba Mungu kadri siku zinavizidi kusogea mambo yanakuwa mabaya zaidi🙏🙏🙏
 
Hujiulizi Kwanin watu wanapata Div Zero lakin wanapewa matokeo yao bado. Same reasons applies
 
Hujiulizi Kwanin watu wanapata Div Zero lakin wanapewa matokeo yao bado. Same reasons
Tuzidi kumuomba Mungu kadri siku zinavizidi kusogea mambo yanakuwa mabaya zaidi🙏🙏🙏
sio poa kabisa Mkuu
applies
 
Back
Top Bottom