wapemwa wanajamii wenzangu,nimebahatika kupata nafasi ya kusoma shahida ya uzamili ktk fani ya biashara chuo kikuu cha DSM,ishu ni ada je naweza kufaham ni NGOs zip au Ubalozi gani naweza kuomba sponsorship

Acha uoga wa maisha wewe, fanya kazi au biashara. Kama degree moja haija kupa uwezo wa kukabiliana na changamoto za maisha basi hata hiyo ya pili haiwezi kuwa na maana yoyote, kwa sababu utakuwa kilaza wa hali ya juu sana.