NGOs zipi zinatoa udhamini kwa elimu ya juu?

NGOs zipi zinatoa udhamini kwa elimu ya juu?

angan

Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
6
Reaction score
2
wapemwa wanajamii wenzangu,nimebahatika kupata nafasi ya kusoma shahida ya uzamili ktk fani ya biashara chuo kikuu cha DSM,ishu ni ada je naweza kufaham ni NGOs zip au Ubalozi gani naweza kuomba sponsorship
 
Acha uoga wa maisha wewe, fanya kazi au biashara. Kama degree moja haija kupa uwezo wa kukabiliana na changamoto za maisha basi hata hiyo ya pili haiwezi kuwa na maana yoyote, kwa sababu utakuwa kilaza wa hali ya juu sana.
 
Mtafute Dismass Lyasa,kwenye Fb Chat Nae Inbox Atakuunganisha,au N Pm Nkupe Namba Zake
 
Back
Top Bottom