Nlipokuwa chuo kuanzia 2010 rafiki yangu mwanyeji wa Dar alipenda sana kutumia JF wakati huo mimi nikitumia sana Mjengwa. Basi bwana tukaambukizana mi pia nikaapenda Jf na kwa mjengwa. Baada ya kutumia kwa muda mrefu sasa nmekuja mzimamzima.
Mwadela member wote wa JF