ngozi kubabuka,je!?joto laweza sababisha?

ngozi kubabuka,je!?joto laweza sababisha?

Joined
Feb 12, 2013
Posts
27
Reaction score
6
habari yenu.
ni matumaini yangu wote tu wazima.ningependa kuuliza je mtu kubabuka ngozi sehemu kama shingoni kuna uwezekano joto likawa ni sababu kubwa endapo mtu huyo amebadili mazingira kwa mara ya kwanza toka sehemu zenye baridi na kwenda kwenye joto?
 
Back
Top Bottom