Ngozi ngumu viganjani na miguuni

Songwe sehemu gani mkuu? Ngoja watakuja wataalam wa ngozi ngumu
 
We unaonekana ulikua mkulima, so don worry hamna dawa, usije ukaanza kujichubua km wapaka mafuta makalioni
 
Si wanasema mwanaume anasifiwa kuwa na ngozi ngumu ili awe tofauti na mtoto wa like, sasa mbona wataka laini?
 
Hyo ndo ngozi ya kiume ya mwanaume wa ukweli....mwanaume unataka kuwa na ngozi nyororo!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…