Encryption
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 997
- 1,348
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unaonekana ulikua mkulima, so don worry hamna dawa, usije ukaanza kujichubua km wapaka mafuta makalioniWakuu mimi ni kijana ninayefanya kazi za ofisini (Afisa manunuzi katika kampuni mojawapo hapa Mkoani Singida)
ninatatizo la kuwa na ngozi ngumu sana za viganja na unyayo kanakwamba mtu nikishikana naye anaona kama mimi ni mkulima wakati kazi ya ukulima niliachana nayo miaka ya 2004 huko Songwe.
Ninaomba msaada kwa anayejua dawa ya kuweza kuilainisha.
Ninatanguliza shukrani.