Ngozi nyeusi ni laana?

Ngozi nyeusi ni laana?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Prof. Minzi na wengine!

Sijui kama Waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral level. Kwa nini nasema hivyo?

Nimewekeza hela nyingi sana kununua mashamba Mkoa wa Rukwa wilaya ya Kalambo about 2,000 acres.

Nimeajiri na nalipa mishahara mizuri kila mwezi for the second year! Sijaweza hata kuvuna kuanza kurudisha hela nilizowekeza. Wanapata malazi na chakula bure nje ya misharaha yao kwenye kambi ambayo nimejenga nyumba kadhaa, nimewekeza matrekta ya kilimo na mwaka huu ilikuwa tulime 500 acres kwa kuanzia. mafuta wanatumiwa, fedha za matumizi madogo madogo wanatumiwa.

viongozi ni watu wazima wa elimu ya chuo kikuu nikifikiri natoa ajira kwa waafrika wenzangu. Wapo wafanyakazi kama 50 wote kila mwezi wana mishahara na kula na kulala bure kwani ni mbali na mjini.

İli kusimamia nilimweka mtoto wangu wa kiume asimamie baada ya masomo ya diploma, nikamwondoa baadaye aweze kupata exposure kwenye miradi mingine. Nilimweka mpaka mchungaji rafiki yangu wa siku nyingi awe anatupia jicho la pembeni kwenye kijiji cha jirani na namlipa allowance kwa mwezi ila sio mfanyakazi.

To my surprise, kumbe wamejenga syndicate kubwa mno kati yao viongozi na operators wa trekta na hasa baada ya kumtoa mtoto wangu kwenye kazi zingine nikimwachia uongozi kijana mwingine ambaye nilipewa na mpendwa kanisani graduate wa UDOM wa zaidi ya 5 years experience ambaye kwenye interview showed quite good command of leadership.

Kumbe kwa siri, wameanzisha vijishamba vyao wanalima kwa mafuta yangu ninayowatumia; wanalima mashamba ya wenyeji kwa hela SH. 70,000 kwa ekari na fedha wanagawana kwa siri; matrekta yangu yote mawili yameharibikia kwenye mashamba ya kulimia watu kupata hela, muda wa kulima shamba langu hawana, shamba langu nililopanga kulima 500 acres this year, Limelimwa only 50 acres na matrekta yasingeharibikia huko wangelima hekari zaidi ya 200, ambazo zimethibitishwa kulimwa; gari yangu ya shamba Canter imekatika chasis kumbe wanafanya biashara ya kubebea watu mazao, kokoto na mawe kwa kulipwa hela wanazo pocket kwa kugawana bila sisi kujua na walifanya siri kubwa.

Nilisukumwa kuomba na kufunga for 3 days last week na sasa nipo kwenye maombi ya wiki nzima ya kufunga nikizidi kuomba ustawi na mafanikio kwenye kazi za mikono yangu.

Kwenye migao yao ya fedha za siri mmoja inaelekea hakuridhika na utaratibu wa mgawanyo akiona anapunjwa, walipoona anasumbua wakamfitini na kumfukuza kazi.
Ndiye baadaye aliyeanika syndicate yote ambayo kumbe mpaka mchungaji wa pale niliyemwamini sana sana naye yumo!😭😭

Nikimuuliza mchungaji huyo, kulikoni yote haya yanayotokea na yeye akiwamo kuhusu, aliishia kuwa na kigugumizi na ameshindwa kabisa hata kujitetea amebaki kuomba samahani!!!!

Waafrika tunaenda wapi jamaniii!!!😭😭😭
Umaskini kweli utaondoka kwa kuwa na roho chafu na mbaya kiasi hiki kweli. Hivi kama sio wokovu nilionao, watu kama hao akipigwa risasi na mwekezaji mwingine kama mimi, tutamlaumu hawa wezi, walafi, watu wasio na soni wala huruma kama hawa kweli?

Nimejinyima miaka yangu yote mpaka uzeeni ili niweke urithi kwa vizazi vyangu, nijisikie nilipambana wajukuu waje kuanzia maisha bora zaidi ya yale tuliyoishi sisi, tunaishia kuwekeza kwa wezi vijana wasio na roho kiasi hiki.

Nimeshea hili ili kama taifa tujitafakari tunakwenda wapi kwa kizazi hiki tulichonacho. Hawa ndio tunaowatengeneza wawe viongozi wa kitaifa, nchi itaweza kusogea kwa mentality ya jinsi hii.

Binafsi nimeamua kutafuta ku-employ Indians or Chinese kuendesha miradi yangu, nimechoka na waswahili acha waendelee kuwa vibarua na watumwa milele na laana zao.

Waafrika tusiporudi kumtafuta na kumwinamia Mungu kwa dhamira ya dhati mioyoni mwetu, laana ya umaskini na utumwa itaendelea kututafuna milele mpaka mwisho wa dunia

Nawashuhudia nyote kwamba Maombi yanafunua hata yaliyo sirini yaliyojificha. Mungu anaangalia dhamira iliyo safi mbele zake na humwekea ulinzi mja wake, kwenye hili, binafsi nimemuona Mungu akitenda.

Glory be to God The Almighty! 🙏🏾🙏🏾

mrangi
 
Prof. Minzi na wengine!

Sijui kama Waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral level. Kwa nini nasema hivyo...
Aliyakanyaga huyo... waafrika wanajisikia vizuri sana wakifanya kazi "Highly supervised, working under pressure and micro managed". Nje ya hapo utamsaka mchawi tu.

Hii rangi imelaaniwa! Rangi inaashiria kiza.. kiza kinakuaga na mamb ya ajabu ajabu tu.
 
Mbongo kazi bila kumsimamia kisawa sawa na kumuamuru na kumhenyesha kama punda hawezi Fanya kazi abadani, toka anazaliwa amekulia kwenye msemo wa chukua chako mapema, toka mtoto anasikia Fulani kaiba serikalini Tsh ngapi mara ufisadi wapi, aina hiyo ya jamii inapenda sana njia rahisi ya kutoboa...yaani kama wanyama wa mwituni ni Hadi uwakimbize ndo huelewa.
 
Story za kujitungia vijiweni kwa lengo moja tu, la kuwadhihaki na kuwatukana Waafrika kwa sababu za rangi ya ngozi yao.

================

Si ajabu mama zenu wanakata viuono kila wakisikia midundo ya ngoma za watu wenye Ngozi nyeusi. Itoshe Labda mimba za mama zenu wote , ambao wana laana, mimba zilitunga wakisikiliza nyimbo za "wenye ngozi nyeusi"
😂😂😂😂😂😂

JamiiForums is now a Home of Bigoted, Racist Twaats.
 
Nawashuhudia nyote kwamba Maombi yanafunua hata yaliyo sirini yaliyojificha. Mungu anaangalia dhamira iliyo safi mbele zake na humwekea ulinzi mja wake, kwenye hili, binafsi nimemuona Mungu akitenda.
Mungu ametenda wakati umeibiwa !! katika hii story naona huyo mmiliki ndo mjinga na hao Wezi ndo wajanja.
 
Prof. Minzi na wengine!

Sijui kama Waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral level. Kwa nini nasema hivyo...

Kwani huwezi kuroga hayo mashamba na utaalamu unao? Watanzania hatuko serious na kitu chochote. Usije ukamuona mtu anavyoongea ukadhani anamaanisha.

Tumejaa uongo uongo mpaka tumeanza kujidanganya wenyewe
 
Prof. Minzi na wengine!

Sijui kama Waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral level. Kwa nini nasema hivyo....
Ungenipm nikuoe mwongozo pole mkuu,hii ndio shida ya kutumia watu kwenye kazi,kama huwezi kusimamia mwenyewe,ACHA.Nitakuja baadae..
 
ulikosea mwenyewe mambo ya kupeana kazi kwa kujuana matokeo yake ndo hayo. ungetafuta mtu ambaye huna ukaribu nae ukamweka akawa msimamizi wao.

Pia ingewezekana ungemtoa mbali. pili ili kuleta maendeo ungemchagua mmoja ukamfanya chawa wako. ila chawa awe tofauti na kiongozi wao.

Pia kama boss unaweza kuwatengenezea kamgogoro feki ili kusiwepo kuelewana kati ya chawa na kiongozi. kila mtu angemwofia mwenzake kufanya madudu akiogopa ungepata taaarifa, na wangeogopa kupoteza ajira zao. hii inafanya kazi sana.
 
Binafsi nimeamua kutafuta ku-employ Indians or Chinese kuendesha miradi yangu, nimechoka na waswahili acha waendelee kuwa vibarua na watumwa milele na laana zao.

Huu ndio mwendo mzuri na jambo jema. Napenda sana hivi.. 💛💚💛

Pesa mtu zako wengine wafanye shamba la Bibi.

Halafu haya mambo lazima mmoja huwa anakuja kutoa siri, ya wizi hayakai. Mchungaji nae hashangazi, wengi wanafanya kazi zao na rohoni wapo vingine.
 
Hii naifananisha na yaliyomkuta Khamis Kigwangala.

CCM wameiharibu sana nchi.

Watu wengi wana mentality za udokozi wizi na ujanja ujanja wakiamini bila ya hayo mambo ni ngumu wao kutoboa.
 
Sio laana, kama tulivyoumbwa na Mungu kuna wenye ngozi nyeusi, nywele za gold, macho ya blue, macho madogo n.k tukubali pia hata akili tunatofautiana, niseme mtu mweusi ana low IQ katika races zote, wachache wenye IQ kubwa na maono na hao wanapigwa vita sana katika uongozi, kazi n.k
 
Prof. Minzi na wengine!

Sijui kama Waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral level. Kwa nini nasema hivyo?

Nimewekeza hela nyingi sana kununua mashamba Mkoa wa Rukwa wilaya ya Kalambo about 2,000 acres.

Nimeajiri na nalipa mishahara mizuri kila mwezi for the second year! Sijaweza hata kuvuna kuanza kurudisha hela nilizowekeza. Wanapata malazi na chakula bure nje ya misharaha yao kwenye kambi ambayo nimejenga nyumba kadhaa, nimewekeza matrekta ya kilimo na mwaka huu ilikuwa tulime 500 acres kwa kuanzia. mafuta wanatumiwa, fedha za matumizi madogo madogo wanatumiwa.

viongozi ni watu wazima wa elimu ya chuo kikuu nikifikiri natoa ajira kwa waafrika wenzangu. Wapo wafanyakazi kama 50 wote kila mwezi wana mishahara na kula na kulala bure kwani ni mbali na mjini.

İli kusimamia nilimweka mtoto wangu wa kiume asimamie baada ya masomo ya diploma, nikamwondoa baadaye aweze kupata exposure kwenye miradi mingine. Nilimweka mpaka mchungaji rafiki yangu wa siku nyingi awe anatupia jicho la pembeni kwenye kijiji cha jirani na namlipa allowance kwa mwezi ila sio mfanyakazi.

To my surprise, kumbe wamejenga syndicate kubwa mno kati yao viongozi na operators wa trekta na hasa baada ya kumtoa mtoto wangu kwenye kazi zingine nikimwachia uongozi kijana mwingine ambaye nilipewa na mpendwa kanisani graduate wa UDOM wa zaidi ya 5 years experience ambaye kwenye interview showed quite good command of leadership.

Kumbe kwa siri, wameanzisha vijishamba vyao wanalima kwa mafuta yangu ninayowatumia; wanalima mashamba ya wenyeji kwa hela SH. 70,000 kwa ekari na fedha wanagawana kwa siri; matrekta yangu yote mawili yameharibikia kwenye mashamba ya kulimia watu kupata hela, muda wa kulima shamba langu hawana, shamba langu nililopanga kulima 500 acres this year, Limelimwa only 50 acres na matrekta yasingeharibikia huko wangelima hekari zaidi ya 200, ambazo zimethibitishwa kulimwa; gari yangu ya shamba Canter imekatika chasis kumbe wanafanya biashara ya kubebea watu mazao, kokoto na mawe kwa kulipwa hela wanazo pocket kwa kugawana bila sisi kujua na walifanya siri kubwa.

Nilisukumwa kuomba na kufunga for 3 days last week na sasa nipo kwenye maombi ya wiki nzima ya kufunga nikizidi kuomba ustawi na mafanikio kwenye kazi za mikono yangu.

Kwenye migao yao ya fedha za siri mmoja inaelekea hakuridhika na utaratibu wa mgawanyo akiona anapunjwa, walipoona anasumbua wakamfitini na kumfukuza kazi.
Ndiye baadaye aliyeanika syndicate yote ambayo kumbe mpaka mchungaji wa pale niliyemwamini sana sana naye yumo![emoji24][emoji24]

Nikimuuliza mchungaji huyo, kulikoni yote haya yanayotokea na yeye akiwamo kuhusu, aliishia kuwa na kigugumizi na ameshindwa kabisa hata kujitetea amebaki kuomba samahani!!!!

Waafrika tunaenda wapi jamaniii!!![emoji24][emoji24][emoji24]
Umaskini kweli utaondoka kwa kuwa na roho chafu na mbaya kiasi hiki kweli. Hivi kama sio wokovu nilionao, watu kama hao akipigwa risasi na mwekezaji mwingine kama mimi, tutamlaumu hawa wezi, walafi, watu wasio na soni wala huruma kama hawa kweli?

Nimejinyima miaka yangu yote mpaka uzeeni ili niweke urithi kwa vizazi vyangu, nijisikie nilipambana wajukuu waje kuanzia maisha bora zaidi ya yale tuliyoishi sisi, tunaishia kuwekeza kwa wezi vijana wasio na roho kiasi hiki.

Nimeshea hili ili kama taifa tujitafakari tunakwenda wapi kwa kizazi hiki tulichonacho. Hawa ndio tunaowatengeneza wawe viongozi wa kitaifa, nchi itaweza kusogea kwa mentality ya jinsi hii.

Binafsi nimeamua kutafuta ku-employ Indians or Chinese kuendesha miradi yangu, nimechoka na waswahili acha waendelee kuwa vibarua na watumwa milele na laana zao.

Waafrika tusiporudi kumtafuta na kumwinamia Mungu kwa dhamira ya dhati mioyoni mwetu, laana ya umaskini na utumwa itaendelea kututafuna milele mpaka mwisho wa dunia

Nawashuhudia nyote kwamba Maombi yanafunua hata yaliyo sirini yaliyojificha. Mungu anaangalia dhamira iliyo safi mbele zake na humwekea ulinzi mja wake, kwenye hili, binafsi nimemuona Mungu akitenda.

Glory to God Almighty! [emoji1488][emoji1488]

mrangi
Ngozi nyeusi ni LAANA.
 
Glory to God Almighty! 🙏🏾🙏🏾

mrangi
Mkuu pole sana hii race nihatari pia mkuu Nina swali watu ulio waajiri ni technical kwenye kilimo au ulichukua tu hapa napata wasiwasi uliwezaje kumuajiri mtu kitoka udom hata kama uliletewa na mchungaji
 
Hapa mwenye makosa ni mwenye shamba. Unalima.kwa simu alafu unalaumu watu?

Usijaribu kuweka huyo Muhindi sijui Mchina au Mwarabau. Atajitahidi kwa figisu na fitna atakazofanyiwa hadi akakimbia.

Kuna wazungu fulani wana mashamba yao kule Iringa. Wakaajiri Mzimbabwe kama farm meneja. Hahahaa yule jamaa hana hamu na watanzania. Akaondoka akaleta Mzimbabwe mwingine, naye hata miezi 3 hajamaliza kuondoka.

Kosa kubwa ni yule.mzee wa kizungu kila mara ni mguu na njia kwao. Jamaa wanampiga tu, so wametengeneza syndicate yao ya upigaji.

Kwenye kilimo wanaamini, Pembejeo ya kwanza ni wewe mwenyewe. Sasa we hushinda shambani unategemea watakufanyika kazi kwa mshahara unaowalipa? 😀😀
 
Prof. Minzi na wengine!

Sijui kama Waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral level. Kwa nini nasema hivyo?

Nimewekeza hela nyingi sana kununua mashamba Mkoa wa Rukwa wilaya ya Kalambo about 2,000 acres.

Nimeajiri na nalipa mishahara mizuri kila mwezi for the second year! Sijaweza hata kuvuna kuanza kurudisha hela nilizowekeza. Wanapata malazi na chakula bure nje ya misharaha yao kwenye kambi ambayo nimejenga nyumba kadhaa, nimewekeza matrekta ya kilimo na mwaka huu ilikuwa tulime 500 acres kwa kuanzia. mafuta wanatumiwa, fedha za matumizi madogo madogo wanatumiwa.

viongozi ni watu wazima wa elimu ya chuo kikuu nikifikiri natoa ajira kwa waafrika wenzangu. Wapo wafanyakazi kama 50 wote kila mwezi wana mishahara na kula na kulala bure kwani ni mbali na mjini.

İli kusimamia nilimweka mtoto wangu wa kiume asimamie baada ya masomo ya diploma, nikamwondoa baadaye aweze kupata exposure kwenye miradi mingine. Nilimweka mpaka mchungaji rafiki yangu wa siku nyingi awe anatupia jicho la pembeni kwenye kijiji cha jirani na namlipa allowance kwa mwezi ila sio mfanyakazi.

To my surprise, kumbe wamejenga syndicate kubwa mno kati yao viongozi na operators wa trekta na hasa baada ya kumtoa mtoto wangu kwenye kazi zingine nikimwachia uongozi kijana mwingine ambaye nilipewa na mpendwa kanisani graduate wa UDOM wa zaidi ya 5 years experience ambaye kwenye interview showed quite good command of leadership.

Kumbe kwa siri, wameanzisha vijishamba vyao wanalima kwa mafuta yangu ninayowatumia; wanalima mashamba ya wenyeji kwa hela SH. 70,000 kwa ekari na fedha wanagawana kwa siri; matrekta yangu yote mawili yameharibikia kwenye mashamba ya kulimia watu kupata hela, muda wa kulima shamba langu hawana, shamba langu nililopanga kulima 500 acres this year, Limelimwa only 50 acres na matrekta yasingeharibikia huko wangelima hekari zaidi ya 200, ambazo zimethibitishwa kulimwa; gari yangu ya shamba Canter imekatika chasis kumbe wanafanya biashara ya kubebea watu mazao, kokoto na mawe kwa kulipwa hela wanazo pocket kwa kugawana bila sisi kujua na walifanya siri kubwa.

Nilisukumwa kuomba na kufunga for 3 days last week na sasa nipo kwenye maombi ya wiki nzima ya kufunga nikizidi kuomba ustawi na mafanikio kwenye kazi za mikono yangu.

Kwenye migao yao ya fedha za siri mmoja inaelekea hakuridhika na utaratibu wa mgawanyo akiona anapunjwa, walipoona anasumbua wakamfitini na kumfukuza kazi.
Ndiye baadaye aliyeanika syndicate yote ambayo kumbe mpaka mchungaji wa pale niliyemwamini sana sana naye yumo!😭😭

Nikimuuliza mchungaji huyo, kulikoni yote haya yanayotokea na yeye akiwamo kuhusu, aliishia kuwa na kigugumizi na ameshindwa kabisa hata kujitetea amebaki kuomba samahani!!!!

Waafrika tunaenda wapi jamaniii!!!😭😭😭
Umaskini kweli utaondoka kwa kuwa na roho chafu na mbaya kiasi hiki kweli. Hivi kama sio wokovu nilionao, watu kama hao akipigwa risasi na mwekezaji mwingine kama mimi, tutamlaumu hawa wezi, walafi, watu wasio na soni wala huruma kama hawa kweli?

Nimejinyima miaka yangu yote mpaka uzeeni ili niweke urithi kwa vizazi vyangu, nijisikie nilipambana wajukuu waje kuanzia maisha bora zaidi ya yale tuliyoishi sisi, tunaishia kuwekeza kwa wezi vijana wasio na roho kiasi hiki.

Nimeshea hili ili kama taifa tujitafakari tunakwenda wapi kwa kizazi hiki tulichonacho. Hawa ndio tunaowatengeneza wawe viongozi wa kitaifa, nchi itaweza kusogea kwa mentality ya jinsi hii.

Binafsi nimeamua kutafuta ku-employ Indians or Chinese kuendesha miradi yangu, nimechoka na waswahili acha waendelee kuwa vibarua na watumwa milele na laana zao.

Waafrika tusiporudi kumtafuta na kumwinamia Mungu kwa dhamira ya dhati mioyoni mwetu, laana ya umaskini na utumwa itaendelea kututafuna milele mpaka mwisho wa dunia

Nawashuhudia nyote kwamba Maombi yanafunua hata yaliyo sirini yaliyojificha. Mungu anaangalia dhamira iliyo safi mbele zake na humwekea ulinzi mja wake, kwenye hili, binafsi nimemuona Mungu akitenda.

Glory to God Almighty! 🙏🏾🙏🏾

mrangi
Mbona hao wachina na wahindi ni watu wa visanamu tu? Hili jambo la kuheshimu kazi ni jambo la kijamii tu
 
Miradi mikubwa yote kama
SGR
Mwendokasi
Airports
Bandari
Bwawa la umeme,
nk nk
Baada ya miaka kati ya 5 mpaka 7 ijayo, itakuwa chini ya usimamizi na uendeshaji wa Ngozi nyeupe. Wahindi, waarabu, wachina, wakorea.
Na tukiweza tuwape na wizara, idara pia
Mpaka sasa sijaona ni eneo gani hasa mtu mweusi ana faa/anafanya kwa mafanikio.(labda uchawa)

#Pengine ni kweli shetani ni Mweusi!
 
Back
Top Bottom