Ngozi nyeusi ni laana?

Kisu kimegusa mfupa....!
 
Bila shaka hii ni farm for the future
 
 
Mungu ametenda wakati umeibiwa !! katika hii story naona huyo mmiliki ndo mjinga na hao Wezi ndo wajanja.
Watu wema tunaponzwa na mengi.. Unajitahidi Kusaidia unaonekana mpumbavu
Kwani huwezi kuroga hayo mashamba na utaalamu unao? Watanzania hatuko serious na kitu chochote. Usije ukamuona mtu anavyoongea ukadhani anamaanisha.

Tumejaa uongo uongo mpaka tumeanza kujidanganya wenyewe
Siwezi kuroga mkuu mimi sio mchawi na hii simulizi sio yangu nimeiweka hapa kama mjadala.. AsanteπŸ™πŸΏ
 
Solution yake inashangaza.

Kumrudia Mungu?!
Mungu gani sasa? Mbona hao wachina na Indians wenye ufanisi na anaotaka kuwaajiri hawamjui huyo Mungu anaemsemea? Nafikiri yeye ndio ana matatizo.

Anatakiwa ajue solution ya changamoto hizi siyo kumrudia Mungu.

Pathetic!
 
Sijasoma yote ila kuna vitu nimenote;
1.Umeanzisha mradi mkubwa kwa mkupuo bila maandalizi thabiti, hapo kufeli ni kugusa.

2. Unamwamini vipi binadamu mwenzako kwa sababu za ajabu kabisa eti huyu mchungajiπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ dini is just a very big hoax.

3. Unapenda ubwenyenye hivi unawezaje ukawa unaspend pesa kiasi hicho wahenyeke wenzako ww upo mjini unakula bata hivi unadhani hata hao wazungu wanahuo ujinga ww ukae mbali huko usitapeliwe.

4.Mradi wowote ni hatua anza mradi wako katika small scale ujue mradi stick na mradi mmoja ukikua ndo uanzishe mwingine.

5.Unatumia sana maneno ya kutaka upewe huruma kuwa umeonewa, big NO wewe hujaonewe dunia imejaribu kukufunza the HARD WAY huwenda uliweza kufuata utaratibu wote wa kuanzisha kampuni ila ukaleta USWAHIBA( KUWALALIA) hao makabwela unaodai unawalipa wasio na ujuzi wowote wala vision towards huo mradi,no way out utapata faida.

6.Unarudia makosa ya kila siku kuamini mtu akifika chuo kikuu anakuwa EXTRA ORDINARY GENIUSπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Lazima uangukie pua, hao wasomi wa vyuo vingi most walienda chuo kukua and infact unazungumzia vyuo hivi majalalani and the like hapo lazima upate matokeo mujarabu kabisaπŸ€—

7.Acha ubwanyeynye hilo shamba lako halijafikia hatua ya kujiendesha,ingia ground vaa boot simamia mradi DO or DIE,,, Unless otherwise hii ni chai kufurahisha bongo zetu na ndoto za kumiliki ESTATE.
 
Mungu ametenda wakati umeibiwa !! katika hii story naona huyo mmiliki ndo mjinga na hao Wezi ndo wajanja.
Watu wema tunaponzwa na mengi.. Unajitahidi Kusaidia unaonekana mpumbavu
Kwani huwezi kuroga hayo mashamba na utaalamu unao? Watanzania hatuko serious na kitu chochote. Usije ukamuona mtu anavyoongea ukadhani anamaanisha.

Tumejaa uongo uongo mpaka tumeanza kujidanganya wenyewe
Siwezi kuroga mkuu mimi sio mchawi na hii simulizi sio yangu nimeiweka hapa kama mjadala.. Asante
 
yawezekana ikawa story ya kutunga lkn linapo kuja swala la uaminifu kwa tz (ninao uzoefu) tunayo shida kubwa sana.
 
Pamoja na namna mtakavyosema, kuhusu hii mada, lakini huo ndio ukweli Mtu mweusi haamini kabisa, inawezekana ni kweli mwenye mradi alizembea katika hilo, lakini haliondoi huo ukweli kwa waafrika hasa sisi watanzania kwenye suala la uwajibikaji na uadilifu ni sifuri kabisa, tutalalamika sana hatuajiriki
 
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the apartheid era.
 
Aisee huu ni zaidi ya uchawi kwa huu Ujinga wanaofanya hao
 
Jomba una hela kinyama.. kulipa watu zaidi ya 50 mishahara kwa mwaka huku huingizi kitu sio mchezo..!! Ingawa uzi umekaa kama CHAI fulani hivi ila ni kweli kwenye hizi biashara watu wanaibiwa balaa. Kuna kampuni kubwa sana TZ ipo karibu na Kisutu kituo cha mwendokasi niligundua kuanzia mlinzi mlangoni hadi mhasibu ni mtandao mmoja wa wizi. Tena yule cashier mdada anayeaminika zaidi na boss ndo kiongozi wa huo mtandao wa wizi. Yaani ukifika pale ni kama wako bize kinyama na kazi ila kumbe kuna mizigo mingine ya wizi inatoka mlinzi anairuhusu tu.
 
Professa kafeli sana. Tatizo halipo kwa wafanyakazi bali kwa yeye profesa.
Mie ndugu yangu mwenyewe ananihujumu sembuse mtu baki . Nilimleta ndugu yangu shambani shamba likaungua na barafu likaungua na moto wakati resource za kuzuia zipo. Ukiondoka nae anaondoka kwenda mashamba ya jirani akafanye vibarua.
Nilimuanzishia mradi wa kuku wa kumsaidia pale shambani akawa anauza kuku na kuzichinja mpaka zikaisha kisha akaanza kununua za kwake nazo zikamshinda.
Niliamua kumrudisha nyumbani, it was just a waste of time and resources.
Niichojifunza ni kuwa kila kitu unatakiwa usimamie mwenyewe japo haiwezekani.
Kwa hio sisi pesa zetu ni za kiwango cha kusimamia wenyewe zikizidi ukahitaji wafanyakaxi basi umetafuta wa kukusaidia kuzila.
Tuombe mungu softcated machine na ROBOT zikamilike haraka ili tuwe tuwe tunaziweka shambani zifanye kazi vinginevyo hatutaendelea kwa kiwango kikubwa.
Usione majitu yana VITAMBI yamejaa maofisini na makanisani ukadhani ni watu wa maana kumbe ni Chui waliovaa ngozi ya kondoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…