Ngozi ya jicho inaungua, napenda kujua tatizo ni nini?

phina98

Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
25
Reaction score
5
Naomba kujua tatizo ni nini ngozi ya nje ya jicho inaungua na kutoka magamba yake baada ya mda kama mtu alietembelewa na narrow bee fly ila tatizo sjajua ni nini wana forum kwa anaefahamu msaada tafadhali
3F964AB3-A111-464E-9BA5-5B0CC629D017.jpeg
 
Wataalamu au walokwisha kutana na hio hali bx watuambie shida n nini na matibabu yake
 
Matatizo ya kansa ni mengi na ishu sensitive kama ya jicho ni kuwahi hospital kwa Dr wa macho.

Nilinua dawa ya kupaka nikapaka ile Hali ikaisha ndani ya siku tatu now niko ok niliambiwa ni infections ndogo tu kulingana na kazi ninazofanya Niko kiwandani so kemikali ni nyingi sana
 
Muone Dr

Wewe ni Ke? Kama ndio je umewahi kupaka zile rangi mithili ya lipstick kwenye maeneo hayo ya jicho?
 
Nilinua dawa ya kupaka nikapaka ile Hali ikaisha ndani ya siku tatu now niko ok niliambiwa ni infections ndogo tu kulingana na kazi ninazofanya Niko kiwandani so kemikali ni nyingi sana
TAFUTA KAZI NYINGINE HAPAFAI HAPO
 
Back
Top Bottom