Ngozi ya kutengeneza Makochi ( first CLASS)

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Kijana wangu amepata order ya makochi ya Leather
Inaweza kuwa ile NGOZI ya kutengeneza ( Artificial) ila first class
Inapatikana wapi kwa Arusha au Dar? bei kwa meter?
 
upo mkoa gani??

Back
Top Bottom