kwani unavuta sigara.? kama uvutu basis ujuwe iyo ni alejiLips za mdomo wangu umekua mweusi kwa juu na chini alafu umefanya mstari mweusi pics umepasuka pasuka kama vile mnywa gongo.
Ni muda wa mwezi sasa nisaidieni nitumie dawa gani sina amani kabisa.
Aiseee!?Acha kwenda chumvin blaza