Ngozi ya mdomo wangu imekuwa nyeusi juu na chini

Yukina

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Posts
201
Reaction score
112
Lips za mdomo wangu umekua mweusi kwa juu na chini alafu umefanya mstari mweusi pics umepasuka pasuka kama vile mnywa gongo.

Ni muda wa mwezi sasa nisaidieni nitumie dawa gani sina amani kabisa.
 
kwani unavuta sigara.? kama uvutu basis ujuwe iyo ni aleji
 
Sivuti sigara wala sijawahi kuvuta kitu chochote
 
unakaribia geuka kuwa koboko (black mamba)! ndie nyoka pekee mwenye mdomo ndani mweusi.
 
Back
Top Bottom