Ngozi ya mtoto ya vidole kukakama

Ngozi ya mtoto ya vidole kukakama

Richard Nguma

Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
65
Reaction score
5
Hello wataalamu ,ngozi ya mtoto ya vidole vya mikono vimekakama na kumenyeka ngozi nimpake dawa gani wataalamu
 
Ngoja madaktari wa JF waje wakupe muongozo 🤒😎
 
nenda hospital hiyo ni mikono ya rais wetu ajae tunategemea atulinde huko baadae..
 
Hello wataalamu ,ngozi ya mtoto ya vidole vya mikono vimekakama na kumenyeka ngozi nimpake dawa gani wataalamu
Pruney Fingers. Sababu zipo nyingi sana.
Mpleleke kwa daktari kwa ushauri zaidi.
 
Nenda hospital achana na madaktari wa kujipachika humu.😂😂😂
 
Back
Top Bottom