ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mwanzo nilijuaga labda usipojipaka mafuta ngozi itapauka au itapata shida ila nime prove mwenyewe baada ya kuishiwa mafuta na nikawa Sina hela ya kununua nimekuwa nikioga bila kupaka kwa zaidi ya miezi mitano ila ngozi naona Iko normal tu hakuna shida yoyote so mafuta hayana ishu sana.Je Kuna mtu hapaki mafuta kabisa na hajaona shida yoyote kama Mimi?