ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
tupo wengi kumbe, nilidhani ni peke yangu!Mwanzo nilijuaga labda usipojipaka mafuta ngozi itapauka au itapata shida ila nime prove mwenyewe baada ya kuishiwa mafuta na nikawa Sina hela ya kununua nimekuwa nikioga bila kupaka kwa zaidi ya miezi mitano ila ngozi naona Iko normal tu hakuna shida yoyote so mafuta hayana ishu sana.Je Kuna mtu hapaki mafuta kabisa na hajaona shida yoyote kama Mimi?
Hivi ukurutu chanzo chake ni nini?POV: Ukikosa pesa mafuta
Huwa sipaki mafuta pia na nipo kawaida tuMwanzo nilijuaga labda usipojipaka mafuta ngozi itapauka au itapata shida ila nime prove mwenyewe baada ya kuishiwa mafuta na nikawa Sina hela ya kununua nimekuwa nikioga bila kupaka kwa zaidi ya miezi mitano ila ngozi naona Iko normal tu hakuna shida yoyote so mafuta hayana ishu sana.Je Kuna mtu hapaki mafuta kabisa na hajaona shida yoyote kama Mimi?
Ila wanaume
Kutooga na mafuta ya asili kifupi ni tabia za kihadzabe.Hivi ukurutu chanzo chake ni nini?
Angalia mfumo wako wa chakula km unabugia bia tu ngozi haiwez kuwa na nuru😁Nyie msio paka mafuta Mnapatikana wapi geita, ngorongoro, dsm, mbeya au dodoma?
Mnazungumzia Ngozi ya kiumbe gani hiyo?
mimi tangu nilipoanza maisha ya kujitegemea, sijawahi kuona sehemu muhimu ya kwenda mpaka nipake mafuta. na nipo natural kibossMwanzo nilijuaga labda usipojipaka mafuta ngozi itapauka au itapata shida ila nime prove mwenyewe baada ya kuishiwa mafuta na nikawa Sina hela ya kununua nimekuwa nikioga bila kupaka kwa zaidi ya miezi mitano ila ngozi naona Iko normal tu hakuna shida yoyote so mafuta hayana ishu sana.Je Kuna mtu hapaki mafuta kabisa na hajaona shida yoyote kama Mimi?