Ngozi yangu huwa imekunjamana Sana

Ngozi yangu huwa imekunjamana Sana

Dcxkobe

Member
Joined
Mar 5, 2023
Posts
57
Reaction score
136
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda hilo ndio tatizo maana sasa hivi naonekana kama mzee wa miaka 70.

Sijui nifanyaje kurudisha ngozi yangu sawa iende na sawa.
 
29 unakimbizana na nyetoo ili hali wadada watafuta me wapoo.
Jaribu pia kwenda kufanya check-up za magonjwa yote?
 
Lishe duni, kuna baadhi ya madini unakosa.

Anza kwa kula mbogamboga kila siku, matunda ya kila aina.

Pia acha kutumia SODA, NYAMA NYEKUNDU, KUKU WA KISASA, MAJUISI, SIGARA na VILEVI.

Kula sana mboga, mchicha, samaki, maparachichi, mananasi, machungwa na maji mengi.

Tumia vipande vitano vya vitunguu swaumu kila siku asubuhi na jioni.

Onana na daktari wa ngozi akupe ushauri zaidi, lakini AKIKUPA MADONGE UMEZE, KATAA. Mwambie akupe mbinu za ASILI.
 
Kwanza sijajua na kuona kwa picha ila angalia tabia ya kuogea sabuni za vipande pia cheza na mazingira kwa sana .

Unaweza kupaka mafuta ya vaseline au lotion (Dove&Nivea for men) ...Pia jipende sana kwa kuogea angalia na showergel nzuri kama za Dove na Nivea ila zipo nyingi sana.
 
Mimi n mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda ilo ndio tatizo maana sasa hivi naonekana kama mzee wa miaka 70

Sijui nifanyaje kurudisha ngozi yangu sawa iende na sawa.
Mkuu

Pole sana

Tafuta asali mbichi!

Kila ukiamka asubuhi tia vijiko vitatu au vinne kwenye Kikombe cha nusu lita jaza maji safi na salama ya kunywa koroga hadi ichanganyike vizuri then kunywa yote!

Fanya hivyo kila siku unapoamka asubuhi na mapema kabla ya kupiga mswaki na kula chochote!

Baada ya mwezi UTAKUA SAWA!!!
 
Jikubali tuu endelea na maisha ya kutafuta maokoto mambo yatajiseti baadae huko ukishakuwa na kibunda cha kutosha,,,,na ndio maana kuna wengine pia wana umri mkubwa lakini sura ya kitoto!!
 
Lishe duni, kuna baadhi ya madini unakosa.

Anza kwa kula mbogamboga kila siku, matunda ya kila aina.

Pia acha kutumia SODA, NYAMA NYEKUNDU, KUKU WA KISASA, MAJUISI, SIGARA na VILEVI.

Kula sana mboga, mchicha, samaki, maparachichi, mananasi, machungwa na maji mengi.

Tumia vipande vitano vya vitunguu swaumu kila siku asubuhi na jioni.

Onana na daktari wa ngozi akupe ushauri zaidi, lakini AKIKUPA MADONGE UMEZE, KATAA. Mwambie akupe mbinu za ASILI.
Ushauri mujarrab kabisa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu

Pole sana

Tafuta asali mbichi!

Kila ukiamka asubuhi tia vijiko vitatu au vinne kwenye Kikombe cha nusu lita jaza maji safi na salama ya kunywa koroga hadi ichanganyike vizuri then kunywa yote!

Fanya hivyo kila siku unapoamka asubuhi na mapema kabla ya kupiga mswaki na kula chochote!

Baada ya mwezi UTAKUA SAWA!!!
Huu mao pia ni ushauri Bora kabisa[emoji736]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda hilo ndio tatizo maana sasa hivi naonekana kama mzee wa miaka 70.

Sijui nifanyaje kurudisha ngozi yangu sawa iende na sawa.
Acha kupaka vipodozi vyenye sumu, kama hutumii muone daktari kwa ushauri zaidi.
 
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda hilo ndio tatizo maana sasa hivi naonekana kama mzee wa miaka 70.

Sijui nifanyaje kurudisha ngozi yangu sawa iende na sawa.
Maji mengi sana kunywa,kunywa maji ya madafu kwa siku hata moja,oga vizuri paka wese,kula vyakula vya mafuta asilia kama karanga,korosho mbichi mbegu za maboga,kamata mbususu kula

Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda hilo ndio tatizo maana sasa hivi naonekana kama mzee wa miaka 70.

Sijui nifanyaje kurudisha ngozi yangu sawa iende na sawa.
[emoji23]pole sana
 
Back
Top Bottom