MkuuMimi n mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda ilo ndio tatizo maana sasa hivi naonekana kama mzee wa miaka 70
Sijui nifanyaje kurudisha ngozi yangu sawa iende na sawa.
Ushauri mujarrab kabisa.Lishe duni, kuna baadhi ya madini unakosa.
Anza kwa kula mbogamboga kila siku, matunda ya kila aina.
Pia acha kutumia SODA, NYAMA NYEKUNDU, KUKU WA KISASA, MAJUISI, SIGARA na VILEVI.
Kula sana mboga, mchicha, samaki, maparachichi, mananasi, machungwa na maji mengi.
Tumia vipande vitano vya vitunguu swaumu kila siku asubuhi na jioni.
Onana na daktari wa ngozi akupe ushauri zaidi, lakini AKIKUPA MADONGE UMEZE, KATAA. Mwambie akupe mbinu za ASILI.
Huu mao pia ni ushauri Bora kabisa[emoji736]Mkuu
Pole sana
Tafuta asali mbichi!
Kila ukiamka asubuhi tia vijiko vitatu au vinne kwenye Kikombe cha nusu lita jaza maji safi na salama ya kunywa koroga hadi ichanganyike vizuri then kunywa yote!
Fanya hivyo kila siku unapoamka asubuhi na mapema kabla ya kupiga mswaki na kula chochote!
Baada ya mwezi UTAKUA SAWA!!!
Acha kupaka vipodozi vyenye sumu, kama hutumii muone daktari kwa ushauri zaidi.Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda hilo ndio tatizo maana sasa hivi naonekana kama mzee wa miaka 70.
Sijui nifanyaje kurudisha ngozi yangu sawa iende na sawa.
Maji mengi sana kunywa,kunywa maji ya madafu kwa siku hata moja,oga vizuri paka wese,kula vyakula vya mafuta asilia kama karanga,korosho mbichi mbegu za maboga,kamata mbususu kulaMimi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda hilo ndio tatizo maana sasa hivi naonekana kama mzee wa miaka 70.
Sijui nifanyaje kurudisha ngozi yangu sawa iende na sawa.
Ili iweje mkuu.Jaribuni kuwasiliana na ZItto Kabwe na Humphrey Polepole.
tafuta picha zao utajua ili iweje.Ili iweje mkuu.
Kwa hiyo akiwatafuta ndio suluhisho la tatizo lake sio.tafuta picha zao utajua ili iweje.
sawa.Kwa hiyo akiwatafuta ndio suluhisho la tatizo lake sio.
[emoji23]pole sanaMimi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda hilo ndio tatizo maana sasa hivi naonekana kama mzee wa miaka 70.
Sijui nifanyaje kurudisha ngozi yangu sawa iende na sawa.