Ngozi yenye chunusi, ngozi ya miguu kuwa ngumu, fanya hivi

Ngozi yenye chunusi, ngozi ya miguu kuwa ngumu, fanya hivi

Kwa io ukipaka usiku huo mchanganyiko unalala nao au kwa mda flani tuu then unautoa?
Ukilala nao inakua fresh make unakaa muda mrefu, ila pia mchana kama una muda wa kukaa nao muda mrefu pouwa
 
Mi nna vishimoshimo kwenye ngozi ya uso mostly sehemu za mashavuni..nafanyaje kuvitoa!?
 
Good morning.....

Ngozi yenye chunusi na mafuta mengi


Chukua asali kijiko kimoja
Mdalasini (cinnamon) kijiko kimoja pia
Vichanganyikane kwa pamoja,
Osha uso, upake usoni huo mchanganyiko, paka muda wa usiku.
Asubuhi utaona mabadiliko
😛

Hello, huo mdalasini unakuwa wa magome au ule wa unga
 
Mdalasini na asali infants kazi lakini ngozi ikizoea hali ya chunusi inarudi palepale. Hata mimi ningependa kujua nini kinaweza kutoa chunusi moja kwa moja
Chunusi huwa zinajirudia kutegemea mtu pia
1 Kuji Control vyakula vya mafuta
2 Hali ya Hewa
3 Kuchanganya Vipodozi
 
Back
Top Bottom