Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
-
- #21
Ukilala nao inakua fresh make unakaa muda mrefu, ila pia mchana kama una muda wa kukaa nao muda mrefu pouwaKwa io ukipaka usiku huo mchanganyiko unalala nao au kwa mda flani tuu then unautoa?
Good morning.....
Ngozi yenye chunusi na mafuta mengi
Chukua asali kijiko kimoja
Mdalasini (cinnamon) kijiko kimoja pia
Vichanganyikane kwa pamoja,
Osha uso, upake usoni huo mchanganyiko, paka muda wa usiku.
Asubuhi utaona mabadiliko
😛
Mdalasini uliosagwa, unakua ungaHello, huo mdalasini unakuwa wa magome au ule wa unga
Jitahidi usije chana mashukaNgoja nifanye utaratibu wa miguu maana si kwa huu ugumu kha!!
Chunusi huwa zinajirudia kutegemea mtu piaMdalasini na asali infants kazi lakini ngozi ikizoea hali ya chunusi inarudi palepale. Hata mimi ningependa kujua nini kinaweza kutoa chunusi moja kwa moja