Billionaire wa Betting
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 1,086
- 2,179
Nimeishi Arusha zaidi ya miaka mitano sasa, mimi Kuna sehemu nyingi sana hasa uswazi uswazi sijawahi kufika . Kuna bomu la uhalifu limeanza kulipuka na tusiombee iwe Kama Ile Arusha ya Miaka Ile haipiti mwezi bila kusikia habari mbaya za tukio au matukio ya uhalifu mkubwa. Arusha vijana Wana usela nya sana , mabange halafu hawana shunguli za kufanya. Unga limited sijawahi kushuka nje ya gari, Ngulee ndio hiyo , daraja mbili , matejoo yaani
Kuna vijana hawafanyi kazi, ni wakorofi,wababe,wapenda starehe ndio wanaosumbua watu.Huko ndo wanajiita machalii, basi polisi wajipange mapema kuthibiti magenge hayo ya uhalifu..........nimekaa Dar zaidi ya miaka kumi sijawahi kuchomolewa kitu chochote mfukoni. Lakini Arusha wiki tu nikachomolewa mfukoni na baada ya wiki wakafanya tena jaribio la kutaka kunichomolea. Nilivyouliza wenyeji wanacheka tu wanasema tena uliweka hapo sebuleni kwenye mfuko wa shati, naona vile vigari vyao vinabeba wezi ambao wanakuwa na syndicate na madereva na makonda, halafu akina mama wanakwapuliwa mikoba sana hasa mida ya jioni pale stendi....huo mji unatakiwa uangaliwe kwa umakini sana kiusalama.
Hizi habari zisikie Kwa watu tu. Mungu aepushe. .
Wewe kweli unaijua sana Arusha.Huo ndo ukweli vijana wa kule usela wa kijinga miaka nenda miaka rudi wako ivyo hawabadilikiNimeishi Arusha zaidi ya miaka mitano sasa, mimi Kuna sehemu nyingi sana hasa uswazi uswazi sijawahi kufika . Kuna bomu la uhalifu limeanza kulipuka na tusiombee iwe Kama Ile Arusha ya Miaka Ile haipiti mwezi bila kusikia habari mbaya za tukio au matukio ya uhalifu mkubwa. Arusha vijana Wana usela nya sana , mabange halafu hawana shunguli za kufanya. Unga limited sijawahi kushuka nje ya gari, Ngulee ndio hiyo , daraja mbili , matejoo yaani
Maneno yanaumbaSi mmesema mna jamuhuri yenu huko ya watu wa arusha na moshi?
Pambanenei sasa
CCMHapo vip!
Kipindi hichi imekuwa ni kipindi hatari sana kuliko nyakati zote. Kipindi hichi jambazi anakamatwa asubuhi, jioni yupo kitaa.
Hapa Ngulelo Arusha, majambazi wamekuwa ni kero, wanavunja vunja maduka wa wafanyabiashara, kwa siku wanaweza kuvuja hata maduka manne pasipo kumuogopa mtu.
Juzi wamevunja maduka maeneo ya njia ya ng'ombe bila woga. Nimesikia pia maeneo ya Ngulelo, wamevunja maeneo kadha wa kadha.
Kama mwananchi wa kawaida nina imani na jeshi la police na wakiamua wanaweza sana tu, ila sijajua changamota ipo wapi kwa sasa.
Hao wanaiba mchana kweupe alafu wapo wa 3 au 4 kibabe yani ukiwasogelea hawatoi kisu unapigwa ma wash ya shingo sio panya road wanatembea na marungu na mapanga tena wapo rundo sana kama wanatoka msibani😂😂unalialia nn ? Si mlisema mnawawezi baada ya ishu ya panyaroad
Mzee usije shuka ungalimited au daraja 2 kama unaroho yako hiyo ya uwoga,huku tunaishi manunda,ambao tunaweza jitetea hata wakija sita wanakalishwa,hivi unapajua bongonyo wewe??mzee usije huku khaaa huko huko aiseeNimeishi Arusha zaidi ya miaka mitano sasa, mimi Kuna sehemu nyingi sana hasa uswazi uswazi sijawahi kufika . Kuna bomu la uhalifu limeanza kulipuka na tusiombee iwe Kama Ile Arusha ya Miaka Ile haipiti mwezi bila kusikia habari mbaya za tukio au matukio ya uhalifu mkubwa. Arusha vijana Wana usela nya sana , mabange halafu hawana shunguli za kufanya. Unga limited sijawahi kushuka nje ya gari, Ngulee ndio hiyo , daraja mbili , matejoo yaani
Unataka tubadilike tuwe mashoga kama nyie??auntupake poda kama nyie na kuvaa vikuku wanaume laini laini oya usije bongonyo utatekwa baki darWewe kweli unaijua sana Arusha.Huo ndo ukweli vijana wa kule usela wa kijinga miaka nenda miaka rudi wako ivyo hawabadiliki
Hili sio jambo la kujivunia. Mnapaswa mdhibiti uhalifu. Maendeleo ni watu, Jamii haiwezi kupata fikra mpya kama vijana wake wanawaza kuuana, kuchinjana na kupigana.Mzee usije shuka ungalimited au daraja 2 kama unaroho yako hiyo ya uwoga,huku tunaishi manunda,ambao tunaweza jitetea hata wakija sita wanakalishwa,hivi unapajua bongonyo wewe??mzee usije huku khaaa huko huko aisee
Jamhuri ndo inaanza hivyo kaeni mtulie hatutaki mipashoSi mmesema mna jamuhuri yenu huko ya watu wa arusha na moshi?
Pambanenei sasa
Sisi huku tushaHili sio jambo la kujivunia. Mnapaswa mdhibiti uhalifu. Maendeleo ni watu, Jamii haiwezi kupata fikra mpya kama vijana wake wanawaza kuuana, kuchinjana na kupigana.
Sisi tunajua tunavyotuliza hizo mbanga,hao wanatulizwa soon,ila wewe jifungie ndani au sepaHili sio jambo la kujivunia. Mnapaswa mdhibiti uhalifu. Maendeleo ni watu, Jamii haiwezi kupata fikra mpya kama vijana wake wanawaza kuuana, kuchinjana na kupigana.
Ukakamavu, ujasiri haupimwi kwa ukorofi wa kuchomana bisibisi na beto chalii. Watu wa pwani kama JK unawaonaje? JPM wa kanda ya ziwa? Mkapa wa umakondeni? Nyerere? Hawa ukorofi wanaujua ndo maana wakafika katika hizo nafasi za juu za nchi.Unataka tubadilike tuwe mashoga kama nyie??auntupake poda kama nyie na kuvaa vikuku wanaume laini laini oya usije bongonyo utatekwa baki dar