Billionaire wa Betting
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 1,086
- 2,179
Arusha kume kuwa hovyo sana, nimeacha hata kwenda Picnic maeneo ya makao mapya kwa sababu Kuna wajinga wapo kupanga uhalifu tu yaani ukitoka na gari wanaweza kukufuata na bodaboda wakakublock Kama itakuwa unapita Barabara kichaa na ikiwa ni mida mibovu