DOKEZO Ngulelo, Arusha: Majambazi wanavunja mchana kweupe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Jamhuri ndo inaanza hivyo kaeni mtulie hatutaki mipasho
Sisi huku tusha
Sisi tunajua tunavyotuliza hizo mbanga,hao wanatulizwa soon,ila wewe jifungie ndani au sepa

Naifahamu Arusha na hayo maeneo nayaelewa na nimeyaishi na kufanya mambo mengi.

Vp mshaachana na tabia ya kuning'iniza viatu kwenye nyaya za umeme? Nightmares bado wapo? Kina nakos enzi za stand ipo metropole bado ni tishio? Wanaapolo na baja mara ya mwisho umewaona lini?

Jamii korofi inapoteza mengi. Binadamu wa sasa akili ndo kipaumbele, ukileta ukorofi unapoteza.

DUNIA INABADILIKA.
 
Ukakamavu, ujasiri haupimwi kwa ukorofi wa kuchomana bisibisi na beto chalii. Watu wa pwani kama JK unawaonaje? JPM wa kanda ya ziwa? Mkapa wa umakondeni? Nyerere? Hawa ukorofi wanaujua ndo maana wakafika katika hizo nafasi za juu za nchi.
Acha uwoga,hakuna mtu anasupport kuchomana visu,ila unatakiwa ufanye mazoezi kijana kwa mtu anayejiwez hawenzi kuja huku jf kulalamika
 
Mbona America hivyo vitu vipo na wame elimika sana
 
Hao wanaiba mchana kweupe alafu wapo wa 3 au 4 kibabe yani ukiwasogelea hawatoi kisu unapigwa ma wash ya shingo sio panya road wanatembea na marungu na mapanga tena wapo rundo sana kama wanatoka msibani
Mbona umekimbia dar ,walevi hao miili hawana kuchapa makofi waambie waje huku ..bhangi zinawasumbua nyote waoga kupiga kelele tu humu😂
 
Mbona umekimbia dar ,walevi hao miili hawana kuchapa makofi waambie waje huku ..bhangi zinawasumbua nyote waoga kupiga kelele tu humu😂
Khaaa mzee nakuja dar alhamis,nafikia mabibo Barcelona nataka tuonane ilintujue mwamba nani,mimi naomba paring la watu wawili hata kama nauli huna nakutumia,huwa mimi natafutaga sparing kama upo tayari sawa
 
Nilifikaga Matejoo
Ilikuwa mchana lakini nilikuwa naogopa.. nikamwambia yule rafiki usirudie kunileta sehemu za hivi.

Nikafikaga pia Morombo, ule mtaa nishausahau.. mwenyeji kanambia shuka sheli flan, namwambia mbona watu wengi hivi aisee.. yan vijana vijana wamekaa tu bila mpangilio 🙌

Sakina nikaishigi kiasi, pako tu kawaida..
 
Mwambie akutembeze bongonyo??ukaone arusha ilivyo
 
Me naiona ya kawaida, labda sababu sio kizurure wa usiku..
 
Huko huko ila unachepuka barabara ya vumbi huku chini ya reli
Mambo za chocho kwa chocho siwezi 😂

Kuna siku nilimsindikiza mtu White Rose, ile pembeni ya Kokoriko Anex unapandisha juu..

Barabara ina mishe mishe ile hadi unaweza hisi muda wowote naibiwa
 
Mambo za chocho kwa chocho siwezi 😂

Kuna siku nilimsindikiza mtu White Rose, ile pembeni ya Kokoriko Anex unapandisha juu..

Barabara ina mishe mishe ile hadi unaweza hisi muda wowote naibiwa
Huko na master acha uwoga
 
Mbona America hivyo vitu vipo na wame elimika sana
Boss, Nachosema ujasiri, ukakamavu uendane na matumizi sahihi ya akili.

Ubabe usiozingatia matumizi ya akili ni adui wa maendeleo.

Mfano huo mtaa ambao umeunadi kuwa ukiwa hapo lazima ujue mawash na mateke, binadamu dhaifu ila mwenye pesa atakuja kuwekeza watoto wako wapate ajira?

Ukumbuke udhaifu unaweza kutokana na uzee, ugonjwa, ulemavu, au maumbile tu.
 
Khaaa mzee nakuja dar alhamis,nafikia mabibo Barcelona nataka tuonane ilintujue mwamba nani,mimi naomba paring la watu wawili hata kama nauli huna nakutumia,huwa mimi natafutaga sparing kama upo tayari sawa
Sipigani na walevi ..usije kunifia baki kwenu ,huku ushamba hatutaki.
 
Sipigani na walevi ..usije kunifia baki kwenu ,huku ushamba hatutaki.
Wewe muoga acha umama,niambie ulipo hata uwe na tag ya washikaji zako mimi siwazi,wewe niambie ulipo,mimi sitakagi maneno ya kikuda nataka nitoe funzo kwa wajinga wajinga kama wewe,oya mimi siwazi dingi nakuchapia kwenu tena mbele ya mama yako au demu wako unakula makofi naufanyi cho chote sema ulipo nije wewe choko
 
We fala uje kunipa kesi ya mauaji bure.mwenyewe Maisha yashakushinda kafie mbele...

Kwa unaweza pima ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…