Unanijua ? Nikutane na wewe ili iweje? Unataka kujua mi ni Nan ? By the way kuwa makini huwaga sifagilii vijana wasiojielewa na wala hawako kweny cycle yangu ..kwanza hujiamini kupenda kujicompare ..mngekuwa na mabondia nchi nzima huko kwenu ,kwamba Mimi nikitane na wewe tupigane tu😂😂😂 wanaonizunguka wataniona sina akili ,ushavuta mabangi hata unachoongea hujui.
Huo mda sasa nikutane na kichaa kama wew wa nn? Hujiamini mara udakie huku point huna ..pita kushoto sipendi battle za kishamba ,kapigane na madonga mwenzio.