Nguli la mitandao ya kijamii ladai Wakenya wanamshobokea

Kwani huyu jamaa atakuwa na miaka mingapi hivi.....??
 
Huyo babu kila ninapo muona iwe mtaani au kwenye picha hakosi huo mnyororo hapo shongoni!
 
Nguli limetulia kwanza mpaka ifike page ya 10 lije kuwasuta halafu litoe ratiba wapi litakuwepo next kula breakfast baada ya kazi ngumu ya ku post mapicha mtandaoni
 
Hivi salama condom waliangalia kigezo cha mabebeeez ndio wakampa LeMutuz ubaloz wa Ndom au"
walihic jamaa anapiga mzigo [emoji23]k[emoji23] kumbe anapiga picha tu [emoji328]
 
siwezi jibishana na le gademu mbururazz, u know me ni le akili kubwaz, haaaa haaa im humbled #lemutuz.
 
Nguli limetulia kwanza mpaka ifike page ya 10 lije kuwasuta halafu litoe ratiba wapi litakuwepo next kula breakfast baada ya kazi ngumu ya ku post mapicha mtandaoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah hzo komenti zimenivunja mbavu.chakufurahisha ni jamaa alivyo na confidence,yaan anajiona yuko sawa kabisa
 
Le Mutuz hana stress na ndio maana ananenepeana hovyo!!!
Atakuwaje na stress wakati hata paka waku make ssure kama amepata maziwa hana,yeye stress yake ni lini weekend itafika,aende akapige picha na mabebs,u know what I mean!!
 
Aende Mombasa na hicho kidani chake shingoni tumuone,kama wanaume hawajamtogesha pua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…