Naam!...Waitaliano walimwita "BIMBO DE ORO" Yaani "The GOLDEN BOY" mashabiki wa AS Roma walimwita "RE DI ROME" Yaani "The KING OF ROME"...Media zao huko italy zilimwita "ER PUPONE" Yaani "The BIG-BABBY" ama "GLADIATORE" Yaani "The GLADIATOR"...jamaa anashikilia rekodi ya Ufungaji Wa mabao 250 kama mfungaji bora wa AS Roma wa muda wote katika league yao huko serie-A akiwa na mabao hayo 250 katika league amekuwa akishikilia nafasi ya pili ya mfungaji bora katika history ya serie-A tokea ianzishwe ligi ile...nyuma ya mfungaji bora Wa Italian serie-A Wa muda wote bwana Silivio Piola(aliyefariki miaka ya 1996 alikuwa striker Wa zamani Wa Lazio,Torino na Juve) mwenye mabao 274 ya league...pia ana jumla ya magoli 307 tokea anze soka lake kweny timu ya vijana ya Rome 1989...nyuma ya Silivio Piola mwenye jumla ya mabao 333,Amekuwa mfungaji bora katika nafasi ya tano kwa italy(In all competitions) katika historia ya soccer nchini humo,ameipatia AS Roma taji moja la Serie-A,mataji mawili ya coppa-Italia na mataji mawili ya supercoppa,Pia anashikilia rekodi ya kuwa nahodha Wa timu hiyo kwa muda mrefu zaidi kuliko mchezaji yoyote aliyewahi kuichezea club hiyo na kwa Mara ya kwanza anapewa unahodha Wa AS Roma ndiye aliyevunja record ya kuwa captain mdogo kuliko wote serie-A kwa wakati ule...alitokea kwenye club ya vijana ya Rome aliyoichezea kwa miaka mitatu tokea 1989 na baadàe kujiunga na timu ya wakubwa ya AS Rome anzia mwaka 1992 hadi hiyo jana tareh-28/2017...anakumbukwa zaidi na wana ROMA kwa goli lake la kwanza aliloifungia club hiyo sept-1994 akisawazisha suluhu ya 1-1 kwenye match dhidi ya Foggia,2004 Totti aliingia katika list ya wachezaji 100 bora duniani ya fifa iliyoainishwa na Legend Wa brazili PELE....kwenye msimu wa 2006/2007 Alishinda EUROPEAN GOLDEN BOOT Mwaka mmoja nyuma ya gwiji Wa tuzo hiyo Cristiano baada ya kuwa mfungaji bora Wa serie-A msimu huo...hadi kufikia msimu Wa UEFA 2014...Alikuwa ndiye mchezaji pekee mwenye umri mkubwa kufunga magoli mengi akiwa na umri Wa miaka 38 na Siku 59,Mwaka 2006 alishinda FIFA WORLD CUP na timu yake ya taifa ya Italy kwenye mechi ya fainali dhidi ya ujerumani...nadhani kila mmoja anakumbuka mechi ile ilivyokuwa ngumu kwa Germany kutokana na ukuta(defence) imara ya Italiano ikiongozwa na MATERRAZI...Enzi za striker Filippo Inzaghi(kocha wa club ya Venezia wa sasa)...ushindi ulikuwa Wa penalties italy-5 dhidi ya germany-3. Hadi sasa ndiye mchezaji anayeongoza kufunga magoli mengi akiwa na timu moja [HASHTAG]#ASRoma[/HASHTAG] huko Italy.