Dah! Wacongoman walitusumbua sana miaka ile ya 90! Huku Aurlus Mabere, huku Wenge Music, huku Extra Musica! huku Allan Koukou, huku Soukouss Stars! Nahisi kizazi chetu kilifaidi sana muziki wa Congo (Zaire)! kabla ya kuja kwa Koffi Olomide na watoto wake akina Fally Ipupa, Fere Gora, nk.
Enzi hizo ni mwendo tu wa VHS! Hakuna cha CD wala Flash!! TV ni chogo pekee, na zikifahamika kwa jina maarufu la VIDEO!!