Nguli wa soka wa Liverpool, John Barnes atangazwa kufilisika kwa kuwa na deni la Sh Bilioni 4.9

Nguli wa soka wa Liverpool, John Barnes atangazwa kufilisika kwa kuwa na deni la Sh Bilioni 4.9

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Gwiji wa England na Liverpool, John Barnes, ametangazwa kuwa amefilisika baada ya kampuni yake ya vyombo vya habari kuingia katika deni la Pauni Milioni 1.5 (Tsh Bilioni 4.9).
Screenshot 2025-10-01 104346.jpg
Imebainika Jumanne Oktoba 30, 2025 kwamba agizo la kufilisika lilitolewa dhidi ya Barnes (61), na Mahakama Kuu ya Haki mnamo Septemba 23. Taarifa hiyo ilichapishwa na London Gazette.

Suala hilo linahusiana na kampuni yake iliyokwisha kufutwa, John Barnes Media. Nyota huyo wa zamani wa kandanda aliwahi kupigwa marufuku kuwa mkurugenzi kwa kipindi cha miaka mitatu na nusu kutokana na madeni hayo.

Barnes, ambaye pia aliwahi kucheza Newcastle United na Watford, anadaiwa na HMRC pauni 776,878 kutokana na VAT, NI na PAYE ambazo hazijalipwa, Pauni 461,849 kwa wadai wasio na dhamana, mkopo wa Wakurugenzi wa Pauni 226,000, na gharama za mfilisi zenye thamani ya pauni 56,535.
Screenshot 2025-10-01 104420.jpg
Hadi sasa, amelipa kiasi cha pauni 60,000 baada ya kukubaliana kurejesha mkopo wa wakurugenzi kwa awamu.

Barnes amepokea maombi sita tofauti ya kufilisika tangu mwaka 2010.

========================​

England and Liverpool legend John Barnes has been declared bankrupt after his media firm racked up debts of £1.5million.

It emerged Tuesday that the bankruptcy order was issued against Barnes, 61, by the High Court of Justice on September 23. The notice was published by the London Gazette.

The issue relates to his now-liquidated company, John Barnes Media. The ex-footballer had previously been banned from being a director for three and a half years relating to the debts.

Barnes, also known for his stints at Newcastle and Watford, owes HMRC £776,878 in unpaid VAT, NI and PAYE, £461,849 to unsecured creditors, a £226,000 directors loan and liquidator's costs worth £56,535.

He has so far paid back £60,000 after agreeing to return the directors loan in instalments.

Barnes has received six separate bankruptcy petitions since 2010.

Source: DailyMail
 
Fix hizi wanazitumia watu wenye pesa ili wasikwapuliwe kodi zaidi. Wengi walishafanya hivi na bado ni matajiri wa kutupwa.
 
Back
Top Bottom