Wana JF.juzi Jumapili ya Tarehe 20/7/09.Kupitia ITV niliona Mpambano wa ngumi kati ya jamaa mmoja mnene kidogo kutoka Zanziba na mpinzani wake kutoka Bara,Ilisemekana kuwa wale mabondia ni MASUPER STAR,cha kusahangazi Mchezo ukaonekana kama vile wa vichocholoni,hasa huyu jamaa wa bara kacheza mchezo wa kihuni sana,hebu smeni juu la hili.