M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
- Thread starter
- #21
HakikaKaskazini = Kazi kazini
Hakunaga Ree
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaKaskazini = Kazi kazini
Hakunaga Ree
Sikia nikwambie kitu pamoja na katiba inasemaje duniani kote kuna kitu kinaitwa underground unwritten rules yaani sheria ambazo zinafanywa kwa mazoea lakini hazijawekwa kimaandishi nitakupa mfano.Marais wanne wametoka pwani
Uingereza aliwahi kupatikana Waziri mkuu (Mhindi) alikua Mu-Anglikana?Sikia nikwambie kitu pamoja na katiba inasemaje duniani kote kuna kitu kinaitwa underground unwritten rule yaani sheria ambazo zinafanywa kwa mazoea lakini hazijawekwa kimaandishi nitakupa mfano.
1.Marekani raisi hawezi kuwa mkatoliki au muislam.Mkatoliki alishawahi tokea mmoja tu Kennedy lakini wakamuua.
2.Wingereza raisi hawezi kuwa muislam au asiye dini ya Anglican
3.Ireland raisi lazima awe mkatoliki
4.Iran raisi lazima awe muislam lakini hiyo haitoshi lakini awe dhehebu la Shia
5.Saudi Arabia alikozaliwa mtume Muhamad.Raisi lazima awe muislam lakini dhehebu la Sunni
6.China raisi lazima asiwe dhehebu la dini za Ibrahim yaani ukristo na uislam
7.Buthan-Raisi lazima we dini ya Budha
8.Cambodia raisi lazima awe dini ya Budha
Sasa tuje hapa kwetu ni hivi raisi asitoke kabila kubwa au kabila lenye umaarufu mkubwa maana yake raisi atoke kwenye kabila dogo tena hii iko hata kwa waziri mkuu.Hii sera iliwekwa na mkoloni mwingereza ila ilikuwa haijaandikwa mahali.Mwingereza aliogopa sana kabila la wasukuma aliona akiwapa elimu atatawala kwa tabu sana.Kilichomshangaza ni kuona watu wa Tabora,Shinyanga,Mwanza wote wanaongea lugha moja.Na sehemu yote iliitwa Lake Province.
Hivyo mchaga,mnyakyusa kuwa hata waziri mkuu achilia mbali raisi ni shughuli pevu.Wapare wanatoka mkoa wa Kilimanjaro lakini ni wako wachache na umaarufu wao na ndio maana sio threat sana na ndio maana Msuya ameshawahi kuwa waziri mkuu.
Sasa najua mtajiuliza Mbona Magufuli alichaguliwa kuwa Raisi na alikuwa Msukuma?.Kiukweli asili kwa ndani sana Magufuli hakuwa msukuma ila alikulia kwenye kabila hilo lakini pamoja na yote chunguzeni sana alivyokuwa anakwenda kwa kasi ya ajabu kutaka kufanya sehemu anakotoka kuwa Mkoa angalieni maamuzi mengine ya ajabu kujenga CRDB mahali hapastahili,kuweka taa za barabarani mahali hapastahili labda ngombe wakiwa machungani wasimame kupicha wenzao,kujenga uwanja wa ndege nyumbani kwao wakati Geita ndio iko karibu zaidi na maarufu.
Huo ndio mfano mdogo.
Ukimcompare na wapi mkuu?Mnapenda sana kukuza mambo! Zanzibar na Pwani kwa ujumla kwenye tourism wako vizuri sana!
Mtajua wenyewe huko Mingoyo LindiKwahiyo unashauri kaskazini wapate uhuru wao? Au kusini waje kuchukua notes za maendeleo pande hii
Joe Biden nae ni MkatolikiSikia nikwambie kitu pamoja na katiba inasemaje duniani kote kuna kitu kinaitwa underground unwritten rules yaani sheria ambazo zinafanywa kwa mazoea lakini hazijawekwa kimaandishi nitakupa mfano.
1.Marekani raisi hawezi kuwa mkatoliki au muislam.Mkatoliki alishawahi tokea mmoja tu Kennedy lakini wakamuua.
2.Wingereza raisi hawezi kuwa muislam au asiye dini ya Anglican
3.Ireland raisi lazima awe mkristo hiyo haitoshi lazima awe mkatoliki
4.Iran raisi lazima awe muislam lakini hiyo haitoshi lakini awe dhehebu la Shia
5.Saudi Arabia alikozaliwa mtume Muhamad.Raisi lazima awe muislam lakini dhehebu la Sunni
6.China raisi lazima asiwe dhehebu la dini za Ibrahim yaani ukristo na uislam
7.Buthan-Raisi lazima we dini ya Budha
8.Cambodia raisi lazima awe dini ya Budha
9.Japan waziri mkuu hawezi kuwa muislam au mkristo yaani dini za Ibrahim ila abudu dini zingine lakini lazima afungamane na dini ya Shinto ambapo mkuu wake ni mfalme.Hii dini wanamuabudu mungu wa mchele.
10.India wao pamoja na kuwa na dini nyingi na miungu zaidi ya 5000 ila kumeshawahi kuwa na raisi muislam Abdul Kalam
Sasa tuje hapa kwetu ni hivi raisi asitoke kabila kubwa au kabila lenye umaarufu mkubwa maana yake raisi atoke kwenye kabila dogo tena hii iko hata kwa waziri mkuu.Hii sera iliwekwa na mkoloni mwingereza ila ilikuwa haijaandikwa mahali.Mwingereza aliogopa sana kabila la wasukuma aliona akiwapa elimu atatawala kwa tabu sana.Kilichomshangaza ni kuona watu wa Tabora,Shinyanga,Mwanza wote wanaongea lugha moja.Na sehemu yote iliitwa Lake Province.
Hivyo mchaga,mnyakyusa,mhaya kuwa hata waziri mkuu achilia mbali raisi ni shughuli pevu.Wapare wanatoka mkoa wa Kilimanjaro lakini wako wachache na umaarufu wao wa usomi na ubahili na ndio maana sio threat sana na ndio maana Msuya ameshawahi kuwa waziri mkuu.
Sasa najua mtajiuliza Mbona Magufuli alichaguliwa kuwa Raisi na alikuwa Msukuma?.Kiukweli asili kwa ndani sana Magufuli hakuwa msukuma ila alikulia kwenye kabila hilo lakini pamoja na yote chunguzeni sana alivyokuwa anakwenda kwa kasi ya ajabu kutaka kufanya sehemu anakotoka kuwa Mkoa angalieni maamuzi mengine ya ajabu kujenga CRDB mahali hapastahili,kuweka taa za barabarani mahali hapastahili labda ngombe wakiwa machungani wasimame kupicha wenzao,kujenga uwanja wa ndege nyumbani kwao wakati Geita ndio iko karibu zaidi na maarufu.
Huo ndio mfano mdogo.
Picha chini hapo ni ng'ombe wa India wanavyoheshimiwa ambao wanajua sheria za brabarani anasubiri taa nyekundu avuke barabarani sasa mkuu wetu mwenda zake labda alikuwa na nia nzuri ila tatizo kule kwao ni kijijini
Rais aliyetoka pwani ni wa awamu ya nne pekee, Mhe. Jakaya.Marais wanne wametoka pwani
Alimaanisha Pwani ya Bahari ya HindiRais aliyetoka pwani ni wa awamu ya nne pekee, Mhe. Jakaya.
Awamu ya kwanza, Nyerere alitoka Mara; Mwinyi Zanzibar; Mkapa Mtwara; JPM Geita.
Mawaziri wakuu wanne wametoka Kaskazini:-
Sokoine, Msuya, Sumaye na Lowassa.
Sio mkoa wa Mara tu hata Simiyu iko included!Asee hili swalq la kusema serengeti ipo kaskazn mi linanikwaza sana….Lawama kwa serikal na wana Mara kwa kushindwa ku support mkoa wao!.
Kweli asee….had makao makuu ya mbuga ya serenget eti yako huko kaskazn Dah huu ni wiz kabisa yaanSio mkoa wa Mara tu hata Simiyu iko included!
Serkali hii ya CCM inaifanya Serengeti ionekane iko Kaskazini kwa sababu Ukanda wa ziwa hauna International Airport Kubwa kuufanya Utalii ukue!
Wakijenga tu kazi imeisha Utalii wa Kaskazini utapungua na Mwanza itakuwa imejijenga kiuchumi na kutakuwa na Flight za moja kwa moja kutoka Mwanza mpaka Dubai na mataifa ya Mashariki ya mbali kama China!Yaaani mwanza au msoma kujenga international Airport imekua vita kali!
1. Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango na kudharau Elimu dunia
Eg. Northern tourism circuit -Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro, Tarangire ndo zinaongoza kuingiza pato kiutalii
Tanzanite inatoka Kaskazin pia
2. Nipo Kaskazini toka tarehe 22.12.2024 hawa ndugu zetu wamewekeza kwao tofauti na Pwani, Kusini na Visiwani.
Mwenyekiti Mbowe, Mitano tena
BCc: Royal family
Niliona ile video....hii kitaalam inaitwaje1. Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango na kudharau Elimu dunia