Sikia nikwambie kitu pamoja na katiba inasemaje duniani kote kuna kitu kinaitwa underground unwritten rules yaani sheria ambazo zinafanywa kwa mazoea lakini hazijawekwa kimaandishi nitakupa mfano.
1.Marekani raisi hawezi kuwa mkatoliki au muislam.Mkatoliki alishawahi tokea mmoja tu Kennedy lakini wakamuua.
2.Wingereza raisi hawezi kuwa muislam au asiye dini ya Anglican
3.Ireland raisi lazima awe mkristo hiyo haitoshi lazima awe mkatoliki
4.Iran raisi lazima awe muislam lakini hiyo haitoshi lakini awe dhehebu la Shia
5.Saudi Arabia alikozaliwa mtume Muhamad.Raisi lazima awe muislam lakini dhehebu la Sunni
6.China raisi lazima asiwe dhehebu la dini za Ibrahim yaani ukristo na uislam
7.Buthan-Raisi lazima we dini ya Budha
8.Cambodia raisi lazima awe dini ya Budha
9.Japan waziri mkuu hawezi kuwa muislam au mkristo yaani dini za Ibrahim ila abudu dini zingine lakini lazima afungamane na dini ya Shinto ambapo mkuu wake ni mfalme.Hii dini wanamuabudu mungu wa mchele.
10.India wao pamoja na kuwa na dini nyingi na miungu zaidi ya 5000 ila kumeshawahi kuwa na raisi muislam Abdul Kalam
Sasa tuje hapa kwetu ni hivi raisi asitoke kabila kubwa au kabila lenye umaarufu mkubwa maana yake raisi atoke kwenye kabila dogo tena hii iko hata kwa waziri mkuu.Hii sera iliwekwa na mkoloni mwingereza ila ilikuwa haijaandikwa mahali.Mwingereza aliogopa sana kabila la wasukuma aliona akiwapa elimu atatawala kwa tabu sana.Kilichomshangaza ni kuona watu wa Tabora,Shinyanga,Mwanza wote wanaongea lugha moja.Na sehemu yote iliitwa Lake Province.
Hivyo mchaga,mnyakyusa,mhaya kuwa hata waziri mkuu achilia mbali raisi ni shughuli pevu.Wapare wanatoka mkoa wa Kilimanjaro lakini wako wachache na umaarufu wao wa usomi na ubahili na ndio maana sio threat sana na ndio maana Msuya ameshawahi kuwa waziri mkuu.
Sasa najua mtajiuliza Mbona Magufuli alichaguliwa kuwa Raisi na alikuwa Msukuma?.Kiukweli asili kwa ndani sana Magufuli hakuwa msukuma ila alikulia kwenye kabila hilo lakini pamoja na yote chunguzeni sana alivyokuwa anakwenda kwa kasi ya ajabu kutaka kufanya sehemu anakotoka kuwa Mkoa angalieni maamuzi mengine ya ajabu kujenga CRDB mahali hapastahili,kuweka taa za barabarani mahali hapastahili labda ngombe wakiwa machungani wasimame kupicha wenzao,kujenga uwanja wa ndege nyumbani kwao wakati Geita ndio iko karibu zaidi na maarufu.
Huo ndio mfano mdogo.
Picha chini hapo ni ng'ombe wa India wanavyoheshimiwa ambao wanajua sheria za brabarani anasubiri taa nyekundu avuke barabarani sasa mkuu wetu mwenda zake labda alikuwa na nia nzuri ila tatizo kule kwao ni kijijini