Ngumu kumesa Community Shield Arsenane vs livapuli

Ngumu kumesa Community Shield Arsenane vs livapuli

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,976
Huenda hatumtazami Mikel Arteta kwa jicho poa,ila ni kocha mmoja wa viwango sana. Hanawachezaji wa kiwango cha juu sana, ilaamehazana kuitengeza timu yahe ili kupata uborawa kila mchezaji. Watazame Arsenal walivokabakwa nidhamu leo licha ya kutokuwa na wakabajiwazuri.

Watazame walivokuwa wanabadilikahwenye uhabaji kwenda hushambulia. Narudiatena, huenda hatumtazami Mikel Arteta hwa jichopoa sana.Jurgen Klopp anaweza kuwa na msimu mgumusana kama ataendelea hujiamini na kutokufanyausajili dirisha hili.

Mwaka wa tatu huu anakujana kikosi kilekile. Wametumia nguvu kubwa sanakulipata taji la epl, walitumia nguvu kubwa sanahuipata UEFA, kabla ya hapo bado walifikafainali ya UEFA. Sehemu kubwa ya kikosi chaLiverpool kimechoka kimwili na kiakili.Zinahitajika sura mpya kwa ajili ya kuamsha ari.Sijui hwaini Klopp bado analichelewesha dili laThiago Alcantara.Arsenal wameanza huu msimu na mataji mawili.La hwanza ni FA.

La pili ni kufaniki wahumbakiza Pierre Emirich Aubameyang. Yulebinadamu anajua, nafasi moja ngumu aliyoipatakipindi cha kwanza ameigeuza kuwa goli. Badoalikuwa muhimu kuziziba njia za Liverpool, badoaliwakumbusha kurudi kila mda kumdhibitiakiondoka kwenye counter attach. Narudia tena,kumbabiza Aubamevane ni kombe lingine la Arsenal.Nadhani Klopp alimmiss zaidi Trent huliko uwezowa Salah.

Liverpool hawakuwa hatari kabisaupande wa kulia, ki baya zaidi ni upande huohatari za Arsenal zilipotokea. Salah alikuwa sikumbaya sana ofisini, ila haikuwa bahati mbaya.Kiran Tierney alishuka ņae kiume.Labda ni mimi tu nimemuona ukuta wa Liverpoolukicheza juu kuliko hawaida.

Labda ni mimi tuunimevutiwa na utulivu wa Mohamed Elneny,labda ni mimi tu nimevuti wa na mizunguko yaBukayo Saka. Labda ni mimi tu nimeiona mikonoya Emilano Martinez. Labda ni mimi nimewazahaya. Labda ni mimi tu.mwanasoka nawatikia usingizi mnono
 
Back
Top Bottom