LENGISHO Senior Member Joined Sep 15, 2017 Posts 169 Reaction score 265 Dec 18, 2017 #1 Eti Kale kamsemo kanakosema *Pambana na hali yako* kwa kingereza si Katakua *"cotton-and & condition of you"* Maana kuna mzungu naona ananiletea mazoea Mabaya Hope Atanielewa tu
Eti Kale kamsemo kanakosema *Pambana na hali yako* kwa kingereza si Katakua *"cotton-and & condition of you"* Maana kuna mzungu naona ananiletea mazoea Mabaya Hope Atanielewa tu
bioto JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 1,261 Reaction score 2,097 Dec 18, 2017 #2 mkuu peleka jukwaa la jokes