Ngumu kumeza!

Ngumu kumeza!

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
NGUMU KUMEZA [emoji434]

Mashabiki wa Simba SC na viongozi wanahaki ya kumshangilia George Mpole kama achievement kwao kutokana na sababu kadhaa.

[emoji419] Msimu huu klabu ya Simba haina chochote cha kushindania kwenye ligi.

[emoji3502]Bingwa - Young Africans
[emoji3502]Unbeaten - Young Africans
[emoji3502]Timu ambayo haijafungwa magoli mengi ligi kuu - Young Africans.
[emoji3502]Mfungaji bora - George Mpole
[emoji3502]Mfungaji bora namba 2 - Mayele
[emoji3502]Timu iliyofunga magoli mengi zaidi msimu huu - Young Africans

Timu iliyopiga pasi nyingi zaidi msimu huu ligi kuu Tanzania bara :
1. [emoji3478] 11,564 - Young Africans
2. [emoji3478] 10,372 - Simba sc
3. [emoji3478] 9,427 - Azam fc

[emoji3502] Golikipa mwenye Cleansheets nyingi ligi kuu Tanzania bara - Diarra
[emoji3502] Golikipa namba mbili mwenye Cleansheets nyingi - Aboutwalib Mshery
[emoji3502]Timu yenye Cleansheets nyingi ligi kuu Tanzania bara - Young Africans.
[emoji3502]Makombe mengi msimu huu - Yanga
[emoji3502]Timu iliyoshinda michezo mingi msimu huu - Young Africans.
[emoji3502]Timu iliyotoa sare chache zaidi msimu huu - Young Africans SC
[emoji3502]Timu iliyoingiza mashabiki wengi viwanjani - Young Africans
[emoji3502] Mshambuliaji pekee ambaye hana goli katika top three ni - Mugalu.

[emoji419] Kwa hiyo ukitazama hapo sehemu pekee ambapo klabu ya Simba inaweza kupata tuzo ni sehemu moja tu,, Ni kwa GEORGE MPOLE.

Ukiacha Mayele kutetema, hizo ndo sababu kubwa zilizofanya mashabiki wengi wa Simba kufurahishwa na Mpole kutwaa tuzo.
 
Ubingwa mmechukua na vyote ulivyotaja ni kweli

sasa kwanini uiongelee simba ?
 
Kushangilia sana ni dalili ya kuwa huna maajabu. Kwa nini nasema hivi? Yanga wanashangilia kupita kiasi kana kwamba hawaamini wameutwaa ubingwa. Kama wewe ni mshindi siku zote huitaji kushangilia kwani hukutegemea ushindi? Kama unashindana na ulitegemea kushinda huna haja ya kushangilia mno; ukijitambua wewe ni mshindi na kombe ni lako hauwezi kushangaa kuutwaa ubingwa 🤣

Sitaki niulizwe chochote.
 
Naskia mayele jana alitetema makalio chooni akisaidiana na semaji lenu
 
Ubingwa mmechukua na vyote ulivyotaja ni kweli

sasa kwanini uiongelee simba ?
Sababu ni nyie Makolos kushangilia kiatu Cha Mpole Hali ya kuwa hakiwahusu.. halafu hata Geita wenye wamewakataa hawawataki Makolo mshangilie kiatu Chao.. mko na nuksi nyie za maisha🤣🤣
Ushahidi naweka hapa
 
Attachments

  • FB_IMG_1656611392934.jpg
    FB_IMG_1656611392934.jpg
    27 KB · Views: 6
Acha kujifariji uto huwa hakuna mfungaji bora namba 2. Tuna mfungaji bora ambae ni Mpole halafu acheni kulia lia striker wenu kukosa kiatu uwezo wake ndio umeishia hapo.
 
NGUMU KUMEZA [emoji434]

Mashabiki wa Simba SC na viongozi wanahaki ya kumshangilia George Mpole kama achievement kwao kutokana na sababu kadhaa.

[emoji419] Msimu huu klabu ya Simba haina chochote cha kushindania kwenye ligi.

[emoji3502]Bingwa - Young Africans
[emoji3502]Unbeaten - Young Africans
[emoji3502]Timu ambayo haijafungwa magoli mengi ligi kuu - Young Africans.
[emoji3502]Mfungaji bora - George Mpole
[emoji3502]Mfungaji bora namba 2 - Mayele
[emoji3502]Timu iliyofunga magoli mengi zaidi msimu huu - Young Africans

Timu iliyopiga pasi nyingi zaidi msimu huu ligi kuu Tanzania bara :
1. [emoji3478] 11,564 - Young Africans
2. [emoji3478] 10,372 - Simba sc
3. [emoji3478] 9,427 - Azam fc

[emoji3502] Golikipa mwenye Cleansheets nyingi ligi kuu Tanzania bara - Diarra
[emoji3502] Golikipa namba mbili mwenye Cleansheets nyingi - Aboutwalib Mshery
[emoji3502]Timu yenye Cleansheets nyingi ligi kuu Tanzania bara - Young Africans.
[emoji3502]Makombe mengi msimu huu - Yanga
[emoji3502]Timu iliyoshinda michezo mingi msimu huu - Young Africans.
[emoji3502]Timu iliyotoa sare chache zaidi msimu huu - Young Africans SC
[emoji3502]Timu iliyoingiza mashabiki wengi viwanjani - Young Africans
[emoji3502] Mshambuliaji pekee ambaye hana goli katika top three ni - Mugalu.

[emoji419] Kwa hiyo ukitazama hapo sehemu pekee ambapo klabu ya Simba inaweza kupata tuzo ni sehemu moja tu,, Ni kwa GEORGE MPOLE.

Ukiacha Mayele kutetema, hizo ndo sababu kubwa zilizofanya mashabiki wengi wa Simba kufurahishwa na Mpole kutwaa tuzo.
Ukweli mchungu huu.
 
Back
Top Bottom