Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
hapa huyu anataka tu kutuchekesha!!! inabidi hii thread imuvuzishwe kule kwenye jokes/udakuHa ha ha ha
Madenge mkubwa wewe
Huna maana kabisa
Nakutafuta.hapa huyu anataka tu kutuchekesha!!! inabidi hii thread imuvuzishwe kule kwenye jokes/udaku
SL ukanikimbia kabisaaaa!!!Nakutafuta.
Ha ha ha ha
Madenge mkubwa wewe
Huna maana kabisa
hapa huyu anataka tu kutuchekesha!!! inabidi hii thread imuvuzishwe kule kwenye jokes/udaku
SL ukanikimbia kabisaaaa!!!
Mwenyewe ndio mana nakutafuta unambie nini kilitokea manake sijaelewa kabisaaa!SL ukanikimbia kabisaaaa!!!
we acha tu...nimefika huko nikawa na mambo lukuki, kwanza vumbi la huko lilinisababishia mafua makali sana!!!Mwenyewe ndio mana nakutafuta unambie nini kilitokea manake sijaelewa kabisaaa!
Mi mtu wa watu Kongosho, sieleweki kama wewe!Bado unaendeleza foleni?
Hivi umesoma kule ulikouliza kama tumekonkudi?
Utajibeba!
Pole, naimani mafua yashapona....we acha tu...nimefika huko nikawa na mambo lukuki, kwanza vumbi la huko lilinisababishia mafua makali sana!!!
asante sana...namshukuru mungu nipo salama! Nilitaka unianzishie sredi kama ile uliyomwanzishia!!!!Pole, naimani mafua yashapona....
Pole sana!Sio kuchekesha nikweli mkuu imenitokea.
kupata dinner hotelini pesa inatumika lakini kuoga sidhani kama pesa ilitumika labda kwa bafu za kulipia. namaanisha huenda unathamani kwasababu ya vijichenge utumiavyo
Ha ha ha!... Nimechelewa kupata taarifa zako, wewe mwenyewe wajua zingenifikia mapema ningekuanzishia...afu mgonjwa wangu bado afya haijakuwa nzuri, ongezeni kumwombea..asante sana...namshukuru mungu nipo salama! Nilitaka unianzishie sredi kama ile uliyomwanzishia!!!!
Pole sana!
asante sana...namshukuru mungu nipo salama! Nilitaka unianzishie sredi kama ile uliyomwanzishia!!!!
Mi mtu wa watu Kongosho, sieleweki kama wewe!
Hebu ngoja nijisogeze kule nikapachungulie!