Ngumu kuwaelewa wasichana...

Ngumu kuwaelewa wasichana...

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
2,181
Reaction score
410
Marayamwisho kunipigia simu aliniuliza nilipo, nikamwambia nipo napata dinner hotelin, akakasirika eti kwanin sikumkaribisha ajiunge nami, jana tena kanipigia na kuniuliza nafanyann, nikamwambia naenda kuoga na kumkaribisha aungane namimi, lakini amechukia tena.....
 
Ha ha ha ha
Madenge mkubwa wewe
Huna maana kabisa
 
Mwenyewe ndio mana nakutafuta unambie nini kilitokea manake sijaelewa kabisaaa!
we acha tu...nimefika huko nikawa na mambo lukuki, kwanza vumbi la huko lilinisababishia mafua makali sana!!!
 
Bado unaendeleza foleni?
Hivi umesoma kule ulikouliza kama tumekonkudi?

Utajibeba!
Mi mtu wa watu Kongosho, sieleweki kama wewe!
Hebu ngoja nijisogeze kule nikapachungulie!
 
kupata dinner hotelini pesa inatumika lakini kuoga sidhani kama pesa ilitumika labda kwa bafu za kulipia. namaanisha huenda unathamani kwasababu ya vijichenge utumiavyo
 
kupata dinner hotelini pesa inatumika lakini kuoga sidhani kama pesa ilitumika labda kwa bafu za kulipia. namaanisha huenda unathamani kwasababu ya vijichenge utumiavyo

Inaezekana ikawa kweli mkuu, ngoja nichanganye na zangu kidogo.
 
asante sana...namshukuru mungu nipo salama! Nilitaka unianzishie sredi kama ile uliyomwanzishia!!!!
Ha ha ha!... Nimechelewa kupata taarifa zako, wewe mwenyewe wajua zingenifikia mapema ningekuanzishia...afu mgonjwa wangu bado afya haijakuwa nzuri, ongezeni kumwombea..
 
Back
Top Bottom