Ngumu sana kupata mke wa kuoa

Ngumu sana kupata mke wa kuoa

Muyohza

Member
Joined
Dec 22, 2020
Posts
51
Reaction score
109
Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha

1.Mwanamke mkristo

2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo)

3.Elimu sikuijali sana

4.Sikutaka mfupi, sitaki kafupi,

Wengi waliojitokeza na kati ya hao sifa hawana
 
Mkuu usiweke masharti mengi sana. Kama kweli unahitaji mke kwa maana ya other half, achana na masharti mengi. Hivi unavyosema hutaki mnene au matumbo akitokea huyo mwembamba ukamuoa kisha baada ya mwaka akanenepa utamuacha? Akitokea mkristu baada ya muda wewe mwenyewe ukristu ukakuzingua utamuacha?

Mke mwema anaweza kuwa yoyote ila anaefundishika. Aliyetayari kufundishika kwa yale unayoyataka na kukuheshimu.
 
Ulipata wangapi mkuu,Tanzania kubwa sana hii bado usikate tamaa...?
 
Msumbwa na vigezo kama vile unakula asali, njoo hapa Runzewe nikupeleke kulina asali
 
Wala siyo ngumu:
Ukikutana na mwanamke yeyote mwenye hizo sifa mtangazie ndoa uone kama atakataa.
 
Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha

1.Mwanamke mkristo

2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo)

3.Elimu sikuijali sana

4.Sikutaka mfupi, sitaki kafupi,

Wengi waliojitokeza na kati ya hao sifa hawana
mkuu wewe unazo hizo sifa unazotaka?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawake tuna huruma sana.
 
Maajabu, mkuu wamejaa wengi mpaka wanashinda kwa waganga na makanisani. Nakupa mbinu, tafuta mabango ya waganga wanaohusika na mambo ya mapenzi, tafuta wanapoishi kaa kwenye kinjia cha kwenda vilingeni kwao. Kisha tongoza kila mwanamke anayetokea upande wa eneo la tukio.
 
Usitafute amani wakati wa vita.

Usitafute chakula wakati wa njaa.

Usitafute mke wa kuoa wakati ya una uhitaji wa kuoa sana!
 
Back
Top Bottom