Ngumu sana kupata mke wa kuoa

Ngumu sana kupata mke wa kuoa

Mleta mada kwa vigezo hivyo, vip account yako inasoma vizuri au ndo bora uzima?

Ila umetudanganya unataka kusema ulivyotoa tangazo walikufata pm? Hivi inawezekama mdada akufate pm? Aiseee hii ndo siwezagi😂😂😂😂
 
Unene wa tumbo ndo upoje mpendwa[emoji849]
 
Unazani kupata mme ndiyo raisi uliza wanawake walio olewa kama kungekuwa na machaguo ya pili wengi wangechagua, halafu jiulize wewe hivyo vigezo unavyo? Usije kuwa unawanyooshea kidole wanawake wakati wewe mwenyewe hukidhi vigezo
 
Huenda unaowakataa wewe ndiyo wanakufaa hao unaowataka si maji yako!
 
Hayo masharti, punguza, penye imani sema imani yoyote. Umri ukizidi kusonga badilisha tangazo "mwanamke yeyeto anaepumua "
 
Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha

1.Mwanamke mkristo

2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo)

3.Elimu sikuijali sana

4.Sikutaka mfupi, sitaki kafupi,

Wengi waliojitokeza na kati ya hao sifa hawanwe

Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha

1.Mwanamke mkristo

2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo)

3.Elimu sikuijali sana

4.Sikutaka mfupi, sitaki kafupi,

Wengi waliojitokeza na kati ya hao sifa hawana
We unasifa ipi kati ya hizo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawake tuna huruma sana.
😂😂😂😂 awe mkiristo umbo mashallah dah sina mbavu hapa
 
Back
Top Bottom