mkuu wewe unazo hizo sifa unazotaka?Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha
1.Mwanamke mkristo
2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo)
3.Elimu sikuijali sana
4.Sikutaka mfupi, sitaki kafupi,
Wengi waliojitokeza na kati ya hao sifa hawana
Basi jioe
Usitafute amani wakati wa vita.
Usitafute chakula wakati wa njaa.
Usitafute mke wa kuoa wakati ya una uhitaji wa kuoa sana!