Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha
1.Mwanamke mkristo
2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo)
3.Elimu sikuijali sana
4.Sikutaka mfupi, sitaki kafupi,
Wengi waliojitokeza na kati ya hao sifa hawanwe
We unasifa ipi kati ya hizoNilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha
1.Mwanamke mkristo
2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo)
3.Elimu sikuijali sana
4.Sikutaka mfupi, sitaki kafupi,
Wengi waliojitokeza na kati ya hao sifa hawana
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo)
ππππ awe mkiristo umbo mashallah dah sina mbavu hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawake tuna huruma sana.