Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Lakini boss hebu angalia matirio ya hiyo nguo pamoja na nakshi zake hienda zikafanana ila zisiwe hizoZipo kibao, nenda posta Mpya opposite na Benjamin William mkapa pension tower, Kuna jamaa anaitwa Toma anapanga pale stend ya daladala post - makumbusho
Kesho twendezetu Mpwayungu tukale nyaZipo kibao, nenda posta Mpya opposite na Benjamin William mkapa pension tower, Kuna jamaa anaitwa Toma anapanga pale stend ya daladala post - makumbusho