Nguo kubwa zinazopwaya mtindo wa sasa

Nguo kubwa zinazopwaya mtindo wa sasa

Wabishi mnaishi kibishi [emoji1787][emoji1787]
Honestly mimi napenda kupendeza lakin dahh!! Nashindwa kabisaa kulipa hilo suala kipaumbele. Yan siweeeziiii. Suali zangu mbili tatu, shati zangu saba nane bas najioneaaga am relaxed.

Nafikir ni kwasababu sinaga kabisa muda wa kuonekana mtaan na huwez nikuta kwenye social gathering ..mara chache chache kanisan labda..kutoka asub kurud giza basi hata muda wa kukimbizana na fashen unashindwa kujua pa kuupata
 
Kumbe tunashineπŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Screenshot_20231024_210138_Chrome.jpg
 
Sijui nijiite Mimi labda ndio mshamba sijawahi penda hiyo trend ya majiguo makuuuunbwa napendelea tu kuvaaa simple pigo za Ally kiba ...
 
mabwanga hadi zile sehem zinapumua vizuri ,,,free air condition,,,,sio vidude vya kubana
 
Back
Top Bottom