Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi dawa ya kutofanya nguo zisipauke ni nini?
Dawa yakufanya nguo zisipauke😎😎Kwenye logic double negation ina imply positive, kwa mamneno mengine hapo unaomba msaada wa namna ya kupausha nguo😅😅💃👣
Ili nguo zsipauke.
1.Usitumie maji yenye chumvi ( hard water)
2.Usitumie sabuni nyingi ya unga unapofua hasa kwa nguo zenye kiasi kikubwa cha cotton.
3. Kwa nguo zinazotoa rangi epuka kuziloweka na sabuni kwa mda mrefu. Lakini pia uszifue mara kwa mara
4.Usianike nguo kwenye mwanga na jua kali. Wakati wa joto ni vema ukafua usku ili zilale kwenye kamba na asbh unazitoa.
5. Uszishoshe mara tu baada ya kukauka. Ziweke kwenye begi na uznyooshe baada ya siku 7 au zaidi
Okay asante mkuuIli nguo zsipauke.

Hapana hatufui nguo, tunafua nazi na dafu.Hivi kuna watu bado mnafua nguo??!![emoji54][emoji54]