INAUZWA Nguo mtumba za watoto zinauzwa elfu 3000 tu

maerasm

Member
Joined
Sep 6, 2010
Posts
43
Reaction score
22
Karibuni mjipatie mtumba mzuri kwa bei ya jumla ya shilingi elfu 3 tu ukichukua nguo kuanzia 20.. Rejareja ni elfu 6 ... Namba kwa mawasiliano zaidi ni 0738664971
Ukurasa wangu wa instagram ni bnl_clothes_shoes_bags
 

Attachments

  • IMG_20180512_085149.jpg
    147 KB · Views: 67
  • IMG_20180512_091221.jpg
    197.4 KB · Views: 65
  • IMG_20180512_085749.jpg
    150.5 KB · Views: 77
  • IMG_20180512_091053.jpg
    98.9 KB · Views: 59
  • IMG_20180512_085415.jpg
    110.2 KB · Views: 56
  • IMG_20180512_090142.jpg
    133.8 KB · Views: 69
  • IMG_20180512_084738.jpg
    97.1 KB · Views: 60
  • IMG_20180512_090505.jpg
    253.2 KB · Views: 63
  • IMG_20180512_090614.jpg
    136.8 KB · Views: 56
  • IMG_20180512_085311.jpg
    167.2 KB · Views: 53
  • IMG_20180512_084611.jpg
    103.6 KB · Views: 56
Duh!, kweli vyuma noma, yani nguo zote hizi tsh.3000/=!!!?
Hujaelewa kaka. Hizo nguo anauza moja elfu 6. Ila ukichukua 20 ndio moja elf 3, yaani kwa elf 60. Sasa labda uwe unafanya biashara ndio utapata unafuu. Kwa elf 6 ni bei kubwa sana.
 
kwa elfu 6 hapana ila kama unauza kwa 3000 kwa bei ya jumla wa mtu anae chukua kuanzia 10 sawa
 
Nguo za watoto, wamama na wadada zinapatikana njuweni kibaha kwa bei ya 6,000 rejereja, jumla ni 3,000 karibuni.. 0762610844 kwa mawasiliano zaidi..Delivery ipo kwa anaenunua jumla ndani ya Dar na Kibaha
 

Attachments

  • VID_51730113_203913_143.mp4
    VID_51730113_203913_143.mp4
    9.5 MB · Views: 20
  • IMG_20180609_191059.jpg
    179.8 KB · Views: 38
  • IMG_20180609_191136.jpg
    242.8 KB · Views: 40
  • IMG_20180609_191111.jpg
    144.4 KB · Views: 43
  • IMG_20180609_191229.jpg
    128.7 KB · Views: 38
  • IMG_20180609_191259.jpg
    96.3 KB · Views: 39
  • IMG_20180609_191208.jpg
    134.7 KB · Views: 37
  • IMG_20180609_191143.jpg
    178.3 KB · Views: 35
  • IMG_20180609_191105.jpg
    85.4 KB · Views: 40
  • IMG_20180609_191215.jpg
    145.9 KB · Views: 35
Samahani mkuu weka picha na mashuka ya mtumba unayo
 
H
Nguo za watoto, wamama na wadada zinapatikana njuweni kibaha kwa bei ya 6,000 rejereja, jumla ni 3,000 karibuni.. 0762610844 kwa mawasiliano zaidi..Delivery ipo kwa anaenunua jumla ndani ya Dar na Kibaha
Hey Sasa hiyo nbr iko watsup@????
 
Karibu ujipatie mtumba mzuri wa nguo za watoto, tunapatikana kibamba Luguruni na kwa namba 0738 664971. Pia unaweza kututembelea instagram account yetu: littlestars_mitumba_na urembo kujionea zaidi. Bei ya jumla ni tshs 5,000 kwa kila nguo kuanzia nguo 100, tshs 4,500 kuanzia nguo 200 Karibuni









 

Attachments

  • VID_20211028_112335.mp4
    72 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…