INAUZWA Nguo mtumba za watoto zinauzwa elfu 3000 tu

Kwa wateja wa jumla nakuchagulia vitu vikali tupu ili urudi tena, nikisema vikali kweli karibuni sana

 
Wale wanaotaka jumla unaruhusiwa kuja dukani chagua unachotaka hadi idadi ya nguo itimie, amna kufungiwa usichojua ndani Kuna nini

 
Video yako ina mb 72 ..na hata picha zako zinakula sana MB
 
Shati kutoka kwetu, watoto wanapendeza👌

 
Kwa hiyo huuzi bello
Ipo kwenye mchakato ila kwa sasa nakufungia idadi ya nguo zozote unazotaka na una uhuru wa kuchagua ukipenda, nitafute kwa 0738664971 tuwasiliane zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…