Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Je hao wavuvi baada ya kuona hiyo skaf na shati walipeleka wapi?
 
HABARI ZINASEMA MEKO ALIMUUA KWA MKONO WAKE HUKU AKICHEKA NA BASHITE ALIKUWEPO TENA JUMBA JEUPE SIDHANI HATA KAMA WALIMZIKA NDO WALIENDA KUMTUPA KWA MAJOKA HUKO,MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU HUYO
Poti bhakoyomba !!!!
HABARI ZINASEMA MEKO ALIMUUA KWA MKONO WAKE HUKU AKICHEKA NA BASHITE ALIKUWEPO TENA JUMBA JEUPE SIDHANI HATA KAMA WALIMZIKA NDO WALIENDA KUMTUPA KWA MAJOKA HUKO,MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU HUYO

Le WELELO ...LE dUMA saNA ...aking'wana kalikoja sana MKATEKISIMU....ila Enzagamba JABHELA LOGOTO
 
HABARI ZINASEMA MEKO ALIMUUA KWA MKONO WAKE HUKU AKICHEKA NA BASHITE ALIKUWEPO TENA JUMBA JEUPE SIDHANI HATA KAMA WALIMZIKA NDO WALIENDA KUMTUPA KWA MAJOKA HUKO,MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU HUYO
FUNDISHO

Dhambi ya kuua huathiri kizazi cha tatu hadi cha nne, damu ya mtu huwa haiendi bure. Lazima damu ya muhusika ilimrudia Muumba kudai ya kuwa ilidhurumiwa uhai.

Usitende ubaya leo ukajiona upo salama, la hasha. Utaathiri sana kizazi chako chote. MUNGU atusaidie tukumbuke hili
 
nadhani damu ya ben itakuwa imeanza kulipwa, jamaa anaropoka ropoka hatari...mdomo wake hauchuji kbs maneno ya kutoa!.
[emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Kumuua Ben na kujaribu kumuua Lisu ni absolutely unnecessary decisions.
Hakukuwa na ulazima!
Bado ilifaa hoja zao kujibiwa kwa hoja.
Unampotezea tu nafikiri jakaya alikuwa good at it! Huna haja ya kuanza kugombana na mtu. Aongee akichoka akae kimya tu unamchukulia easy tu sababu we unapiga zako hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…