clecla
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,160
- 1,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndio hupendelea pia ushirikina uchukue nafasi, yaani kuearoga hawa jamaa hasa walokimbilia Dodoma, wameiona ikulu ni chungu kukaa
Damu ya Ben inadai malipo!Mkuu katika hayo mengi uliyotanabaisha kuwa utayaweka wazi,nadhani uanze na hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumuua Ben na kujaribu kumuua Lisu ni absolutely unnecessary decisions.
Hakukuwa na ulazima!
Bado ilifaa hoja zao kujibiwa kwa hoja.
Hawa jamaa wanyama sana.Kama wamemuua Ben si watupatie maiti yake tuizike?
Hawa jamaa wanyama sana.
Wameamua kumzika wenyewe!
Poti bhakoyomba !!!!HABARI ZINASEMA MEKO ALIMUUA KWA MKONO WAKE HUKU AKICHEKA NA BASHITE ALIKUWEPO TENA JUMBA JEUPE SIDHANI HATA KAMA WALIMZIKA NDO WALIENDA KUMTUPA KWA MAJOKA HUKO,MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU HUYO
HABARI ZINASEMA MEKO ALIMUUA KWA MKONO WAKE HUKU AKICHEKA NA BASHITE ALIKUWEPO TENA JUMBA JEUPE SIDHANI HATA KAMA WALIMZIKA NDO WALIENDA KUMTUPA KWA MAJOKA HUKO,MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU HUYO
FUNDISHOHABARI ZINASEMA MEKO ALIMUUA KWA MKONO WAKE HUKU AKICHEKA NA BASHITE ALIKUWEPO TENA JUMBA JEUPE SIDHANI HATA KAMA WALIMZIKA NDO WALIENDA KUMTUPA KWA MAJOKA HUKO,MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU HUYO
FUNDISHO
Dhambi ya kuua huathiri kizazi cha tatu hadi cha nne, damu ya mtu huwa haiendi bure. Lazima damu ya muhusika ilimrudia Muumba kudai ya kuwa ilidhurumiwa uhai.
Usitende ubaya leo ukajiona upo salama, la hasha. Utaathiri sana kizazi chako chote. MUNGU atusaidie tukumbuke hili
Mungu yupo leo,jana na ataendelea kuwepo.
nadhani damu ya ben itakuwa imeanza kulipwa, jamaa anaropoka ropoka hatari...mdomo wake hauchuji kbs maneno ya kutoa!.Jiwe vs Ben Saanane , damu ya huyu mtu italipwa tu
[emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]nadhani damu ya ben itakuwa imeanza kulipwa, jamaa anaropoka ropoka hatari...mdomo wake hauchuji kbs maneno ya kutoa!.
Unampotezea tu nafikiri jakaya alikuwa good at it! Huna haja ya kuanza kugombana na mtu. Aongee akichoka akae kimya tu unamchukulia easy tu sababu we unapiga zako helaKumuua Ben na kujaribu kumuua Lisu ni absolutely unnecessary decisions.
Hakukuwa na ulazima!
Bado ilifaa hoja zao kujibiwa kwa hoja.